Roman Empire
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 620
- 1,414
Ooh, Hilo lisikupe shida, mimi mjinga sana tena, sijawahi kuwa mwerevu. Tatizo si ujinga wangu, kwani wewe ujinga wangu unakusaidia nini? Tatizo ni werevu wako unaokusaidia.
Punguani wahed.
Nipo kwenye mwendo kasi nauchungulia uhuu mpambano Ila mpambano wa bi ff aujawaikumuacha mtu salamaKama ni tusi "mwenyewe"