Powder
JF-Expert Member
- Jan 6, 2016
- 4,417
- 5,440
Bora hata angekua Sheikh anayefanya kazi hiyo eeh!Ujinga huo, usikute huyo "father" ni mmoja katika wanaowatuma na anakwenda jela kutaka kujuwa mzigo mwengine au pesa wameficha wapi kwa kisingizio kuwa atawasaidia ndugu na jamaa zao.
Unamsaidia muuwaji ili iweje?