Lets Go JF!: Taifa Kwanza!

Lets Go JF!: Taifa Kwanza!

duuuh, yaani unaishi NY zaidi ya miaka 20 na unapewa ubunge wa EAC?
Hii inawezekana Tanzania tu. Hongera.
 
You are nothing but a GOLD DIGGER... Unajifanya kutuaminisha kuwa ushindi huu ni wetu wote lakini ki ukweli u are USING US. Unatafuta mahala pa kupumzikia, V8 ya bure ya kodi zetu na mshahara mnono ukilinganisha na kazi yako ya ubaharia ambayo ni mere kusogeza na kupanga mizigo melini. Huna cha kutuelimisha about jumuia kwa vile bado hujaijua. Lakini kwa vile mama yako yuko busy anawahonga wabunge wenzie utashinda tu na kuwa mbunge. I promise u kwa majembe yaliyopo katika tume ya katiba, wababaishaji kama nyie ur days are numbered.
 
watoto wote wa viongozi kama wewe mtapita tu izo kampeni ni mbwembwe za za kusema siku izi watu wanawekana kwenye ajila, anamuweka ndugu yake na ndugu yake ana uwezo vile vile.
Haiwezekani miaka zaidi ya 20 ukae ugenini unaludi hata miezi mi5 haijaisha unapewa cheo.
Mi najua lazima upite nyie si matajili bwana.

- Mkuu Mandela kukaa jela miaka 27 haina maana anakuwa qualified kuongoza wafungwa tu, mengine kufikiri japo kidogo sana kabla hujaandika hapa!

William.
 
You are nothing but a GOLD DIGGER... Unajifanya kutuaminisha kuwa ushindi huu ni wetu wote lakini ki ukweli u are USING US. Unatafuta mahala pa kupumzikia, V8 ya bure ya kodi zetu na mshahara mnono ukilinganisha na kazi yako ya ubaharia ambayo ni mere kusogeza na kupanga mizigo melini. Huna cha kutuelimisha about jumuia kwa vile bado hujaijua. Lakini kwa vile mama yako yuko busy anawahonga wabunge wenzie utashinda tu na kuwa mbunge. I promise u kwa majembe yaliyopo katika tume ya katiba, wababaishaji kama nyie ur days are numbered.

- Well, ningekuwa na hela za kuhonga mtu nisingegombea, tunachangiwa sana na members wetu kule FB kupitia M-pesa Vodacom, na wewe ukiweza tuwe pamoja huu sio wakati wa kupigiana makelele ni wakati wa kusonga kwa mbele na mwendo mdundo sana mkuu, twende usibaki nyuma JF mbele kwa mbele!


William.
 
duuuh, yaani unaishi NY zaidi ya miaka 20 na unapewa ubunge wa EAC?
Hii inawezekana Tanzania tu. Hongera.

- Unaweza kuishi Jela miaka 27 na ukawa Rais baada ya kutoka, uliza South Africa na Mandela!, Otherwise one page tupo wote!


William.
 
watoto wote wa viongozi kama wewe mtapita tu izo kampeni ni mbwembwe za za kusema siku izi watu wanawekana kwenye ajila, anamuweka ndugu yake na ndugu yake ana uwezo vile vile.
Haiwezekani miaka zaidi ya 20 ukae ugenini unaludi hata miezi mi5 haijaisha unapewa cheo.
Mi najua lazima upite nyie si matajili bwana.

Mkuu hiyo sentensi ya mwisho naona umeiandika kinyooonge na kwa kukata tamaa kisha ukamwachia Mungu kama Rashid wa Kuli alilosema yana mwisho haya!
 
Le mutuz, mie napenda kicheko chako tu. Kila la kheri banaa, miujiza ya ccm ikutangulie.
 
- Wananchi wote JF, twendeni sasa kuelekea kwenye mwisho wa Mbio zetu za Ubunge wa EAC: Tuwapigie Wabunge wa Jamhuri kuwaomba kura zao wapigie mabadiliko, wapigie Change! Wapigie Taifa kwanza na wapigie JF: Do something and be part of the change!

- Tunataka kuwaelmisha wananchi kuhusu EAC, kwamba Tanzania ni mwanachama wa EAC, Faida na hasara zake, tunataka kuhakikisha tutawakilisha mawazo na wananchi huko EAC yakitokea kwa wabunge wa Jamhuri ambao ni wawakilishi wao kikatiba, tunataka maoni yao wananchi kabla ya kutoa maamuzi ya aina yoyote huko EAC, na muhimu kuliko yote ni kulinda masilahi ya wananchi na hasa taifa letu katika EAC!

- Jana tulikuwa Arusha, na Zanzibar, leo in another 15 minutes tutakuwa Radio Uhuru Live kwenye maswali na majibu kwa hiyo kama una tatizo piga simu utuulize live, Jumatatu tutakua Clouds Radio na TV Live, NA THEN TUTAANZA SAFARI YA KUELEKEA DODOMA, kwa hiyo twendeni mbele people!, twendeni pamoja JF mbele zaidi!

- MUNGU AIBARIKI TANZANIA NA AIBARIKI JF!


William KUMEKUCHA!

my verdict....

"it was a good attempt, bill.....but you will need to wait a bit. even the current chairman had to hang in there for a while on his first attempt in 1995, remember? so be patient son, and you will reap the rewards".

...and i (much as i would love to see you win it this time around) have to stay sober and realistic and say too "it has been a nice try".
 
- Ndio kwanza tumemaliza mahojiano na Radio Uhuru, sasa tunaenda Karimjee kwenye maombolezo ya Mzee Mahundi, and then tutakwua Radio Clouds, mwendo ni mdundo hakuna kulala mpaka kieleweke, people twende pamoja JF mbele na Taifa kwanza!

WWilliam.
Wewe ulikuwa unatumia mijina ya kihuni sasa nenda kwa 50cent akisupport
 
Too bad,...too sad,...poor excuse for an MP.
 
Kwangu Mimi mtu yeyote ambaye yuko CCM ni adui yangu no matter what!!....CCM ni genge la wahuni na mtu yeyote atakayesalia CCM ni najisi tu.
Anzisha Taifa linaloitwa CHADEMA ili ukae huko,hapa hapatutoshi and by any means you are not fit, mentally,to live in Tanzania, or any civilised state.
 
my verdict....

"it was a good attempt, bill.....but you will need to wait a bit. even the current chairman had to hang in there for a while on his first attempt in 1995, remember? so be patient son, and you will reap the rewards".

...and i (much as i would love to see you win it this time around) have to stay sober and realistic and say too "it has been a nice try".

- Ahsante sana msemaji wa Bunge laa Tanzania. ha! ha! ha! ha!


William.
 
Back
Top Bottom