Binti Maringo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2007
- 2,804
- 98
kukosa kazi.....majungu na vitu kama hivyo.....badala ya kuongelea mustakbali wa nchi wao wanaongelea mishedede ipi mikubwa na midogo ati nani anajua kufanywa au kufanyishwa mapenzi..damn!Maongezi ya Afican Ladies wanapokutana huwa yako centered around this/similar useless topic. Mna natatizo gani? Maana wanaume wanapokutana huwezi kusikia wanaongelea haya!
kukosa kazi.....majungu na vitu kama hivyo.....badala ya kuongelea mustakbali wa nchi wao wanaongelea mishedede ipi mikubwa na midogo ati nani anajua kufanywa au kufanyishwa mapenzi..damn!
Maongezi ya Afican Ladies wanapokutana huwa yako centered around this/similar useless topic. Mna natatizo gani? Maana wanaume wanapokutana huwezi kusikia wanaongelea haya!
mapenzi ni psychology; ukishaiweka kichwani kuwa waafrika hakuna kitu, hata kama ukikutana na mimi itakuwa kazi bure. lakini ukikutana na mzungu, kwa kuwa iko kichwani mwako hao ndio best basi ndicho utakachokipata.
i think the variability among the africans is the same as that among the whites particularly women (ndio kusema kuna conservatives kwetu na kwao, na kuna liberals vile vile, kote kote!); wanaume sijui, lakini I have a feeling "possibly biased" kuwa wazungu wachovu.
we unaishi wapi? is sex a useless topic?! u are damned! sex is everthing ... think harder, you will know it.
Sex is life, la sivyo dunia inakwisha! hhhaaa hhaaaa
Ndiyo maana ikaitwa 15 minutes break...that means you can talk about anything ku refresh mind yako.....
wewe unafikiria kuongelea nchi all the time?.......you are being rudiculous for really!......kama unaona ni big deal why unakuja kwenye idhaa ya mapenzi hukuy na usibakie kwenye siasa?.....
Negativity is in your blood...no wonder WOS alikupa vidonge vyako....
we unaishi wapi? is sex a useless topic?! u are damned! sex is everthing ... think harder, you will know it.
Sex is life, la sivyo dunia inakwisha! hhhaaa hhaaaa
Maongezi ya Afican Ladies wanapokutana huwa yako centered around this/similar useless topic. Mna natatizo gani? Maana wanaume wanapokutana huwezi kusikia wanaongelea haya!
African ladies wanapokutana wewe unakuwa wapi kuwasikiliza wanachoongea. Tukisema wewe una umbea tutakuwa tumekosea? Mapenzi ni muhimu sana ndio maana na wewe ukazaliwa. How dare to say is useless topic? Teeteeee kama una mpenzi kazi anayo.
we unaishi wapi? is sex a useless topic?! u are damned! sex is everthing ... think harder, you will know it.
Sex is life, la sivyo dunia inakwisha! hhhaaa hhaaaa
Babu wee hebu tuachege na wewe! kinachokusumbua ni nini sasa, kila mtu na fani ndugu, mimi ni mpenzi wa mapenzi na siasa yote iliyomo naifahamu. Sioni tatizo kama ndio relection ya tabia yangu, ni kweli napenda mapenzi kama wewe unavyopenda siasa. Hebu tukomege babu.Trend inaonyesha kwamba wanawake wa humu JF baadhi yao wamespecialize katika mapenzi. Hakuna wanachoweza kuchangia humu isipokuwa mapenzi. Kama huamini nenda jukwaa la mahusiano uone vituko vyao!
Kina WoS, Haika, na Kelly na Belinda sometimes wanapost kwenye majukwaa mengine kama siasa na Michezo, waliobaki wote wanaongea mapenzi tu, mfano 4X4Xfar, Penny, Nyamayao etc. JF ni jukwaa huru we dare to talk openly, lakini maongezi yako yanareflect tabia zako.
Babu wee hebu tuachege na wewe! kinachokusumbua ni nini sasa, kila mtu na fani ndugu, mimi ni mpenzi wa mapenzi na siasa yote iliyomo naifahamu. Sioni tatizo kama ndio relection ya tabia yangu, ni kweli napenda mapenzi kama wewe unavyopenda siasa. Hebu tukomege babu.
Hahahaha watu wengi wanaopenda kuzungumzia sex muda wote either hawapati au wanapata kwa nadra.
Kuhusu swali la Kelly, Ukiingia kwenye uhusiano tayari una mentality ya kuwa African men suck in bed hutoridhishwa ata kama utakutana na African Casanova kwa sababu ishajijenga akilini kuwa hawawezi kazi.
Kabisa huku nikubaguana kwa kweli, hebu waambie hawa wabaguzi. Kwanza hivi hajui kwamba mapenzi ni kitu muhimu sana kwa mwanadamu...isingekuwa hivyo angezaliwa yeye! na kama kweli yeye hafanyi mapenzi au hatendi si angekuwa na minyege ya mawazo (depresion) hata kudonoa hiyo keyboard ingekuwa soo! Usituleetee hizo bwana.Ubaguzi wa kijinsia naona ushaanza! mmeshatoka nje ya topic jamani tafazali...
Trend inaonyesha kwamba wanawake wa humu JF baadhi yao wamespecialize katika mapenzi. Hakuna wanachoweza kuchangia humu isipokuwa mapenzi. Kama huamini nenda jukwaa la mahusiano uone vituko vyao!
Kina WoS, Haika, na Kelly na sometimes wanapost kwenye majukwaa mengine kama siasa na Michezo - hapa ni pa Belinda , waliobaki wote wanaongea mapenzi tu, mfano 4X4Xfar, Penny, Nyamayao etc. JF ni jukwaa huru we dare to talk openly, lakini maongezi yako yanareflect tabia zako.
Hawa ni wanawake waliodeclare jinsia zao.
....na kama kweli yeye hafanyi mapenzi au hatendi si angekuwa na minyege ya mawazo (depresion) ....