donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
.
Samaki wa Nazi mkuuwali na mboga ipi mdau?
shenziSamaki wa Nazi mkuu
huwa tunakula tu bila sababu za msingi.Hivi wali mnaupendeaga nini?
hahaha!shenzi
[emoji23][emoji23][emoji23]huwa tunakula tu bila sababu za msingi.
wewe huupendi? kwanini?
[emoji23][emoji23][emoji23]Pakua sasa tule mkuu tushatoka masjid,leo ni wali na samaki wa nazi.