Let’s communicate in code.

Let’s communicate in code.

01101101 01100001 01100100 01100001 00100000 01111001 01100001 01101010 01101011 01100001 01111010 01101001 01110111 01100001
 
what this?
Andika alfabeti kuanzia A-Z halafu assign namba kwenye hizo herufi
Kwa mfano
A chini yake andika 1,
B chini yake adika 2
Hivyohivyo mpaka herufi ya mwisho baada ya hapo rudi kwenye ujumbe alio andika mtoa mada utabaini kwamba namba...sasa unaweza kuendelea. Ikikuchanganya itakupasa urudi kwenye keyboard ili ujue mpangilio wa herufi kwa mujibu wa mtoa mada
 
Andika alfabeti kuanzia A-Z halafu assign namba kwenye hizo herufi
Kwa mfano
A chini yake andika 1,
B chini yake adika 2
Hi yo givyo mpaka herufi ya mwisho baada ya hapo rudi kwenye ujumbe alio andika mtoa mada utabaini kwamba namba 44 NI H sasa unaweza kuendelea. Ikikuchanganya itakupasa urudi kwenye keyboard ili ujue mpangilio wa herufi kwa mujibu wa mtoa mada
Sawa mkuu
 
😂 Hii code bila decoder ni kama kusoma ujumbe wa CIA. Ngoja mwenye code atoe key kwanza. 😄
IMG_7443.png
 
.-- . / .- .-. . / .. -. / .--- .- -- .. .. ..-. --- .-. ..- -- ...



Seran
Morse code sio..?🤔

Anyways:

.....-.-...-..-...- / -- --- -...... /.--.- --. -... --.... --...- /......---..-.. /.--.-.--... / -- -..- /- -.-.. -.- -... -.- --. /..... --- -...
 
IMG_7444.jpeg


Nokia 100
1998
Bei USD 1, credit 30USD kwa mwezi, rental fee, umetumia au hukutumia wanakata
Mobitel,(Yas ya sasa)
Credit/Vocha unaenda pale ofisini kwao Gerezani kulipia cash

Ukipiga wanakata, ukipigiwa wanakata
Hakuna nipigie hapo!
Mtu akikupigia unaomba amalize haraka

Baadaye Voda wakaingiza SiemensS25, maarufu kama Twanga Pepeta
Hapo ndio ujanja wa texting ukaanza na gharama za kuongea zikapungua
 
44 2 22 2 777 444 0 9999 2 0 555 33 666 0 66 444 0 66 9999 88 777 444 0 6 55 88 88 66 2 666 66 2 0 88 6 33 2 6 88 2 0 55 88 9 2 222 44 2 66 4 2 66 999 2 0 9 2 66 2 0 5 333 7777 444 7777 444 0 9 33 66 4 444 66 33 0 9 2 0 55 88 7777 88 22 444 777 444 2 0 6 444 7777 44 2 44 2 777 2 0 8 88 7 666 0 55 88 555 33 33 33 0 55 9 33 66 999 33 0 88 9999 444 0 9 33 8 88 0 7 33 66 3 9 2 0 9 2 0 6 7777 44 2 44 2 777 2 0 9 2 0 5 2 66 88 2 777 999 0 555 444 66 444
 
Back
Top Bottom