Leticia Nyerere atimkia CCM


Good riddance Leticia; japo umekawia sana, you never belonged to the revolutionary train; nashangaa kwa nini hakuenda TADEA; afterall birds of the same feather fly together; JOHN MAGALLE SHIBUDA !!!
 
Good riddance Leticia; japo umekawia sana, you never belonged to the revolutionary train; nashangaa kwa nini hakuenda TADEA; afterall birds of the same feather fly together; JOHN MAGALLE SHIBUDA !!!

Ni sahihi kabisa!!! Kama ambavyo imekuwa sasa kati ya SLAA...MBOWE...VS LOWASA wanaruka pamoja simply wote ni WATAKA MADARAKA IWE MCHANA AU USIKU NA KWA NJIA YOYOTE IWE KWA DAM AMA KWA MAJI
 
hakuna mtoto wa nyerere anaeitwa leticia hyo tapeli wa kisiasa
 
Anyways, tusigombane kwa maneno makali jamani. Tufanye hivi, katika kuelekea kufungwa kwa msimu wa usajiri CHADEMA wamekaa na CCM wakakubaliana kubadirishana wanasiasa.

Hivyo makubaliano yalikua hivi; CCM walishinikiza kwamba, ili waweze kumpata Easter Bulaya, James Lembeli na Edward Lowasa itabidi CHADEMA wakubali kumuachia Leticia Nyerere, na CHADEMA haikuwa na jinsi zaidi ya kukubaliana na masharti hayo ya CCM.

Mnaonaje hapo, is the question solved?
 
Hana jipya yupoyupo tu kama mzogo Sikuona mchango wake bungeni hadi linavunjwa
 

Political capital kwa huyo Leticia kutumia jina la Nyerere.
Hana lingine lolote analofanya
 
Namsikiliza Leticia nyerere EATV kwenye kipindi cha hotmix nimeshindwa kumtofautisha na mtoto wa darasa la pili😕
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…