New Nytemare
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 3,440
- 2,673
Haujajua siasa inavoenda wewe..Lowasa ndo mwenye A.c.tMimi sisiem mshana Jr na rais wangu ni EL hahahahh wewe je?
Haujajua siasa inavoenda wewe..Lowasa ndo mwenye A.c.tMimi sisiem mshana Jr na rais wangu ni EL hahahahh wewe je?
Mimi umenifurahisha hapo penye rais wako.
Napenda sana wewe kwani kwa sasa huna rAiS
mpaka hapo mwezi wa kumi.
lakini je kiongozi wako napii analielewa hilo?
Haujajua siasa inavoenda wewe..Lowasa ndo mwenye A.c.t
Ngoja ufike mudaHeri yako unayeijua siasa hata ccj si mlisema ya lowasa??acha siasa za vijiweni!!EL rais makini kutoka
sisiem na si act.