Namkubali EL kwa kitu kimoja tu sio mwoga wa kuchukua maamuzi na haiba yake inabeba mamlaka na sauti yake ina nguvu, mimi ni CHADEMA
kabisa Mshana Jr.....kabanga hiyo ni kwishney...!!!
Mimi umenifurahisha hapo penye rais wako.Mimi sisiem mshana Jr na rais wangu ni EL hahahahh wewe je?