Universe= ulimwengu

Shape = umbo

Cosmologist = mnajimu ( note, the Swahili language does not distinguish much between astrology, astronomy and cosmology)

Duh, nilikuwa sawa kufikiri labda kiswahili kinaweza kuwa tabu zaidi.

Ungeweza hata kuandika kiswahili na kutumia maneno hayo usiyojua kiswahili chake ungeeleweka zaidi. Ulivyoandika inabidi kutumia msuli kukuelewa.