Let us stretch our mind II - three tough questions

Mazee andika kiswahili tu, sio lazima kiingereza.

Au afadhali hata ya hicho kiingereza?

Kiranga...msamiati wa Universe,shape,cosmologist ni hipi kwa kiswahili?

Universe= ulimwengu
Shape = umbo
Cosmologist = mnajimu ( note, the Swahili language does not distinguish much between astrology, astronomy and cosmology)

Duh, nilikuwa sawa kufikiri labda kiswahili kinaweza kuwa tabu zaidi.

Ungeweza hata kuandika kiswahili na kutumia maneno hayo usiyojua kiswahili chake ungeeleweka zaidi. Ulivyoandika inabidi kutumia msuli kukuelewa.

Learning is about confusion,if ur not confused you will never learn.Swali tunaongelea Universe kwa misimamo tuliyo ikuta kitu ambacho siyo sahihi kabisa.

Similar Discussions

Back
Top Bottom