Let us Compare between Tanzania and Mauritius in terms of development | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Let us Compare between Tanzania and Mauritius in terms of development

Discussion in 'International Forum' started by Andindile, May 2, 2009.

 1. Andindile

  Andindile JF-Expert Member

  #1
  May 2, 2009
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 305
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Tanzania
  -Indepedance- 1961
  -Population: 41,048,532 (July 2009 est.)
  -Population Growth rate: 2.4% (2009 est.)
  -total Area : 945,087 sq km
  -land: 886,037 sq km, water: 59,050 sq km
  -Natural resources: hydropower, tin, phosphates, iron ore, coal, diamonds, gemstones, gold, natural gas, nickel
  -GDP (purchasing power parity): $54.26 billion (2008 est.)
  - GDP - per capita (PPP): $1,300 (2008 est.)
  -Electricity production: 2.682 billion kWh (2006 est.)
  -Electricity consumption: 2.225 billion kWh (2006 est.)
  - Electricity imports: 123 million kWh (2006 est.)
  -Natural gas production: 146 million cu m (2006 est.)
  -Natural gas - consumption: 146 million cu m (2006 est.)
  -Natural gas proved reserves: 6.513 billion cu m (1 January 2008 est.)
  -Oil - imports: 26,760 bbl/day (2005)
  -Oil - consumption: 27,270 bbl/day (2006 est.)
  -Labor force: 20.38 million (2008 est.)
  -Labor force by occupation: agriculture: 80%, industry and services: 20% (2002 est.)
  - Budget: revenues: $4.216 billion, expenditures: $4.658 billion (2008 est.)
  -Public debt: 22% of GDP (2008 est.)
  -Agriculture products: coffee, sisal, tea, cotton, pyrethrum (insecticide made from chrysanthemums), cashew nuts, tobacco, cloves, corn, wheat, cassava (tapioca), bananas, fruits, vegetables; cattle, sheep, goats
  -Industries: agricultural processing (sugar, beer, cigarettes, sisal twine); diamond, gold, and iron mining, salt, soda ash; cement, oil refining, shoes, apparel, wood products, fertilizer
  -Reserves of foreign exchange and gold: $2.624 billion (31 December 2008 est.)
  -Debt - external: $5.311 billion (31 December 2008 est.)
  - Current account balance: -$2.275 billion (2008 est.)
  -Exports: $2.49 billion f.o.b. (2008 est.)

  Mauritius
  Indepedance- 1968
  -Population: 1,284,264 (July 2009 est.)
  -Population Growth rate: 0.776% (2009 est.)
  -Total Area: 2,040 sq km
  -Land: 2,030 sq km, water: 10 sq km
  -Natural resources: arable land, fish
  -GDP (purchasing power parity): $15.36 billion (2008 est.)
  - GDP - per capita (PPP): $12,100 (2008 est.)
  -Electricity production: 2.321 billion kWh (2007 est.)
  -Electricity consumption: 2.058 billion kWh (2006 est.)
  - Electricity imports: NIL
  -Oil - imports: 23,650 bbl/day (2006)
  -Oil - consumption: 22,450 bbl/day (2006 est.)
  -Labor force: 584,000 (2008 est.)
  -Labor force by occupation: agriculture and fishing 9%, construction and industry 30%, transportation and communication 7%, trade, restaurants, hotels 22%, finance 6%, other services 25% (2007)
  - Budget: revenues: revenues: $1.866 billion
  expenditures: $2.243 billion; including capital expenditures of $NA (2008 est.)
  -Public debt: 57.2% of GDP (2008 est.)
  -Agriculture products: sugarcane, tea, corn, potatoes, bananas, pulses; cattle, goats; fish
  -Industries: food processing (largely sugar milling), textiles, clothing, mining, chemicals, metal products, transport equipment, nonelectrical machinery, tourism
  -Reserves of foreign exchange and gold:$1.909 billion (31 December 2008 est.)
  -Debt - external: $2.55 billion (31 December 2008 est.)
  - Current account balance: -$982 million (2008 est.)
  -Exports: $2.36 billion f.o.b. (2008 est.)

  Source: CIA fact Book, 2009.

  Tatizo letu ni nini mpaka tuendelee kuishi kwenye lindi la umaskini wa kutupwa na kupitwa kimaendeleo na nchi ndogo isiyo na rasilimali kuizidi Tanzania?
   
  Last edited: May 2, 2009
 2. m

  majuva Senior Member

  #2
  May 2, 2009
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 144
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wenzetu hawana longolongo, uaminifu umekithiri nilipata bahati ya ku-visit pale aise yaani unajiona unaamani kila unapotembea hata ukienda kununua kitu hakuna bei ya mgeni ....ukimuona polisi hushtuki kama kwetu, corruption jamani, kuanzia state house hadi kwa mfuga mbwa kila mtu anaangalia mfuko wake..maendeleo yatoke wapi, mawaziri, wakurugenzi, wabunge, wastaafu wakuu wa nchi, na viongozi wengine hadi wa kidini wakiamua kupunguza japo 50% ya wanavyomiliki na kuviweka katika kuinua uchumi wa nchi nadhani utashangaa jinsi figures zitakapobadilika

  Utajiri wa Tanzania upo mifukoni mwa wachache
   
 3. m

  majuva Senior Member

  #3
  May 2, 2009
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 144
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ardhi yao ni ndogo ila wanaitumia ipasavyo miwa inalimwa hadi pembezoni mwa barabara, tena ni ukulima wa kutumia vifaa vya kisasa, barabara sio za kusema ni nzuri na wamezipangilia hata population ikiongezeka bado zinaweza kumudu...round abou zao hata barabara zetu mpya bado hazijafikia,
  mambo ya 10% barabara mpya ila ina hadhi ya miaka ya 80 baada ya muda mfupi haitufai msongamano palepale tunatafuta tena msaada mwingine!! Mkulima hata trekta hana tunanunua ndege ya raisi...then kilimo ni uti wa mgongo!! oh Tanzania nakulilia nchi yangu
   
 4. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #4
  May 2, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,867
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Sii Tz tu..je kuna nchi ingine yoyote SSA iliyopiga hatua kimaendeleo? May be Botswana na SA! Nyingine zote choka mbaya tu..hata Nigeria na Guinea ya Ikweta wenye mafuta ya kutisha!

  Tz ni nchi kubwa kwa eneo..tofauti na Mauritious ambayo ni kama tu Mkoa wa Mtwara. Sasa kujenga miundo mbinu toka Dar hadi Karagwe na hadi Tunduru ni tofauti na kuweka barabara ktk mkoa wa Mtwara au nchi kama Rwanda!

  Taabu yetu kuwa pia ni rushwa pia..na kukosa leadershipi!

  Sasa sijui ni kwa nini nchi zote SSA tukose leadership spirit! Mie sioni nchi iliyo afadhali..pengine muniambie..nilifika Cameroom Aiport wakachukua passport yangu hadi nikatoa rushwa $100 ndo wakanipa Visa!

  Pia nchi kama Mauritious ni visiwa malaria imedhibitiwa kirahisi..na pia ujambazi ni rahisi pia kudhibiti!
   
 5. Andindile

  Andindile JF-Expert Member

  #5
  May 2, 2009
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 305
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kujiridhisha kwa kusema hata wenzetu wako hivyo ndiko kunasababisha watu waconclude kuwa "miafrika ndivyo tulivyo" why can't we be the first to to make progress and be in the same category as Botswana, Mauritius, Seyshells even Ghana. Kumbuka landmass kubwa ni mtaji mkubwa sana kwa Tanzania ndio maana tuna maeneo ya utalii makubwa mara 100,000s the size of mauritius, katika hiyo ardhi tuna gold, diamond, natural gas, Tanzanite, germstorn, phosphate, forests, fresh water, you name it ambavyo mauritius hawana. Tuna labour force ya over 20,000,000 tunaitumiaje? Ndugu why do we compare ourselves among the poor. Do we deserve that?
   
 6. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #6
  May 2, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  When comparing, please choose comparables.
   
Loading...