Lesson from STEVE JOBS, APPLE Visionary and Co - founder

Nxt Millionaire

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
406
89
Vyombo vyoote vya habari nchini na dunia jana na leo vimetawaliwa na habari ya kifo, kifo cha mtu ambaye pengine wengi hawakuwa wakimfahamu hapo kabla, hakuwa maarufu sana, lakini alikuwa muhimu sana, wapo watu kadhaa wanaweza kuwa wanafurahia ubunifu wake katika maisha yao ya kila siku lakini hawajui ni nani aliye nyuma ya kifaa hicho watumiacho, ni kawaida kabisa, lakini wapo watu na pengine walio wadadisi walikuwa wanamfahamu.

Historia ya maisha yake na mafanikio aliyoyapata ndio hasa yaliyonisukuma kuandika kidogo kile nilichojifunza toka kwake, mfano

Anasema:-
"Your time is limited, so don't waste it living someone else's life. Don't be trapped by dogma – which is living with the results of other people's thinking. Don't let the noise of other's opinions drown out your own inner voice. And most important, have the courage to follow your heart and intuition. They somehow already know what you truly want to become. Everything else is secondary." SJ


RIP Steve Jobs, Genius, Visionary and Change Maker.


Steve, amenikumbusha ile thread ya Are you working harder or SMARTER? icheki hapo kama uliikosa.
 

Nxt Millionaire

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
406
89
The guy was so real in tech bizz!

The Guy new that "THOUGHTS ARE THINGS" and practiced it very well no matter what experts or other gurus may think or say about any idea he has, he still went for it and succeed in whatever he THOUGHT POSSIBLE, its true that our dominating thoughts have a huge impact of what we will be in future, nimepata somo kuubwa sana kutoka kwa huyu Mtaalamu.

The question is WHAT ARE YOUR DOMINATING THOUGHTS NOW?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom