Leopard Shotokan Karate

Leopard Shotokan Karate

rommy shabby

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2017
Posts
1,122
Reaction score
1,313
Kwa wale wadau wa sanaa ya mapigano karibuni sn leopard ujifunze jinsi ya kujihami dhidi ya adui wa aina mbalimbali.

Ukiwa leopard utajifunza kuchezea fimbo & cheni, kisu & panga, technic zote za roba.

Pia, kwa wale wenye mili mikubwa karibu mutoe mafuta na kujifunza pia maana sanaa hii haichagui aina ya mwili yeyote anaweza kujifunza.

Ewe dada, kaka, baba njoo Njooni mujifunze, location ni Kinondonimuda ni saa moja hadi mbili na nusu Usiku,
 
Attachments

  • Screenshot_2020-01-10-07-18-33-1.jpeg
    Screenshot_2020-01-10-07-18-33-1.jpeg
    53.1 KB · Views: 15
Kwa wale wadau wa sanaa ya mapigano karibuni sn leopard ujifunze jinsi ya kujihami dhidi ya adui wa aina mbalimbali.

Ukiwa leopard utajifunza kuchezea fimbo & cheni, kisu & panga, technic zote za roba.

Pia, kwa wale wenye mili mikubwa karibu mutoe mafuta na kujifunza pia maana sanaa hii haichagui aina ya mwili yeyote anaweza kujifunza.

Ewe dada, kaka, baba njoo Njooni mujifunze, location ni Kinondonimuda ni saa moja hadi mbili na nusu Usiku, mwalim ana Dan 4 (4 degree of karate)

Kwa mawasiliano zaidi nicheki 0656444206
View attachment 1493735
Gharama ya mafunzo ni kiasi gani na kwa muda gani?
 
Mkuu gharama ni elfu 50 kwa mwezi na kila baada ya miezi mitatu kutakuwa na mitihani kwa wanafunzi watakao kuwa wamefuzu watapanda mikanda kutoka mweupe kwenda yellow au green, pia kila baada ya miezi mitatu kutakuwa na mashindano yatakayokusanya madojo yote dar na mikoani kwa watakaokua na nia ya kushiriki basi wataruhusiwa na mashindano yetu ni mazuri sn karibu mkuu au mlete kijana au ndugu yako

Mafunzo yanachukua muda gani mpaka kuiva?
 
Mkuu uelewa kabisa atleast ukae dojo kuanzia mwezi mmoja coz utaanza kufundishwa misingi kuanzia mwanzo kabisa , hope kama wapenda sanaa hii utajua tu wala haichukui muda mwingi sn karibu mkuu ujifunze.
Mafunzo yanachukua muda gani mpaka kuiva?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom