Mimi ndio namsikia leo. Nafatilia siasa za chadema mwaka wa 20 sasa jina hilo sijalisikia. Hebu tupe umaarufu wake. Kawa mbunge? Diwani? Au mpiga debe tu?Leonce Marko kada wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo ( lChadema) amejiunga na Chama cha Mapinduzi CCM.
Marto amejizolea umaarufu ndani ya chadema kabla ya kutimkia CCM na ameshikiria nyadhifa mbalimbali.
Nafasi alizowahi kushikiria Leonce Matto - Mjumbe wa sekretarieti ya kanda ya Nyasa, Katibu Mwenezi kanda ha Nyasa, Mjumbe wa Mkutano Mkuu Jimbo la Iringa Mjini, Mgombea Udiwani kata ya Nduli 2020, alikuwa Advance Team ya Taifa ya mgombea Urais 2015.
Mwamba vipi mbona kama unahasira hiviNdiyo nani huyu mjinga anayeyafuta kiki kwa kujinasibisha na chadema?
Kila mpumbavu akitaka kutafuta kiki basi anatumia jina la chadema ili kupandisha gauge. Mxiuuuuu!!
Safari njema..baada ya figisu zote na kila aina ya ushetani wamefanikiwa huyu tuu? SIAMINI KABISA😂Wakuu,
Naona besti wa Msigwa kaamua amfuate CCM.
Je, fukuto la CHADEMA litatoa kiongozi mwingine kwenda CCM?
=====
Leonce Marko kada wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo ( lChadema) amejiunga na Chama cha Mapinduzi CCM.
Marto amejizolea umaarufu ndani ya chadema kabla ya kutimkia CCM na ameshikiria nyadhifa mbalimbali.
Nafasi alizowahi kushikiria Leonce Matto - Mjumbe wa sekretarieti ya kanda ya Nyasa, Katibu Mwenezi kanda ha Nyasa, Mjumbe wa Mkutano Mkuu Jimbo la Iringa Mjini, Mgombea Udiwani kata ya Nduli 2020, alikuwa Advance Team ya Taifa ya mgombea Urais 2015.
Ni nani huyu.Wakuu,

Mchadema maarufu kwa Iringa.Mimi ndio namsikia leo. Nafatilia siasa za chadema mwaka wa 20 sasa jina hilo sijalisikia. Hebu tupe umaarufu wake. Kawa mbunge? Diwani? Au mpiga debe tu?
Mwanasiasa Malaya MalayaWakuu,
Naona besti wa Msigwa kaamua amfuate CCM.
Je, fukuto la CHADEMA litatoa kiongozi mwingine kwenda CCM?
=====
Leonce Marko kada wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo ( lChadema) amejiunga na Chama cha Mapinduzi CCM.
Marto amejizolea umaarufu ndani ya chadema kabla ya kutimkia CCM na ameshikiria nyadhifa mbalimbali.
Nafasi alizowahi kushikiria Leonce Matto - Mjumbe wa sekretarieti ya kanda ya Nyasa, Katibu Mwenezi kanda wa Nyasa (ambao ulikoma baada ya Sugu kuingia madarakani May 29, 2024), Mjumbe wa Mkutano Mkuu Jimbo la Iringa Mjini, Mgombea Udiwani kata ya Nduli 2020, alikuwa Advance Team ya Taifa ya mgombea Urais 2015.
Mkuu hakuna haja ya kutukana watu kisa tu wameamua kutumia haki na uhuru wao wa kidemokrasia wapendavyo.Mwanasiasa Malaya Malaya
Kaondoka Gaucho Minjino ,Kaondoka Zitto ,Kaondoka kafulila ,koandoka machali ,kaondoka Dr Slaa ,Koandoka Mashinji ,Koandoka Prof Paregu ,Kaondoka Lijualibutu,kaondoka silinde ,kaondoka mchungaji feki Msigwa ... ,kaondokaa ... kaondoka.....,kaondoka ....lakini Chama bado kipo imara.Wakuu,
Naona besti wa Msigwa kaamua amfuate CCM.
Je, fukuto la CHADEMA litatoa kiongozi mwingine kwenda CCM?
=====
Leonce Marko kada wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo ( lChadema) amejiunga na Chama cha Mapinduzi CCM.
Marto amejizolea umaarufu ndani ya chadema kabla ya kutimkia CCM na ameshikiria nyadhifa mbalimbali.
Nafasi alizowahi kushikiria Leonce Matto - Mjumbe wa sekretarieti ya kanda ya Nyasa, Katibu Mwenezi kanda wa Nyasa (ambao ulikoma baada ya Sugu kuingia madarakani May 29, 2024), Mjumbe wa Mkutano Mkuu Jimbo la Iringa Mjini, Mgombea Udiwani kata ya Nduli 2020, alikuwa Advance Team ya Taifa ya mgombea Urais 2015.
Kafulila Toka lini akawa Chadema?? NCCR yuleKaondoka Gaucho Minjino ,Kaondoka Zitto ,Kaondoka kafulila ,koandoka machali ,kaondoka Dr Slaa ,Koandoka Mashinji ,Koandoka Prof Paregu ,Kaondoka Lijualibutu,kaondoka silinde ,kaondoka mchungaji feki Msigwa ... ,kaondokaa ... kaondoka.....,kaondoka ....lakini Chama bado kipo imara.
HPn chama kimeshayumbaKaondoka Gaucho Minjino ,Kaondoka Zitto ,Kaondoka kafulila ,koandoka machali ,kaondoka Dr Slaa ,Koandoka Mashinji ,Koandoka Prof Paregu ,Kaondoka Lijualibutu,kaondoka silinde ,kaondoka mchungaji feki Msigwa ... ,kaondokaa ... kaondoka.....,kaondoka ....lakini Chama bado kipo imara.
Kila la kheri kada,ila isiwe tu wanakusemea.Wakuu,
Naona besti wa Msigwa kaamua amfuate CCM.
Je, fukuto la CHADEMA litatoa kiongozi mwingine kwenda CCM?
=====
Leonce Marko kada wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo ( lChadema) amejiunga na Chama cha Mapinduzi CCM.
Marto amejizolea umaarufu ndani ya chadema kabla ya kutimkia CCM na ameshikiria nyadhifa mbalimbali.
Nafasi alizowahi kushikiria Leonce Matto - Mjumbe wa sekretarieti ya kanda ya Nyasa, Katibu Mwenezi kanda wa Nyasa (ambao ulikoma baada ya Sugu kuingia madarakani May 29, 2024), Mjumbe wa Mkutano Mkuu Jimbo la Iringa Mjini, Mgombea Udiwani kata ya Nduli 2020, alikuwa Advance Team ya Taifa ya mgombea Urais 2015.
Huo ni Msemo wa Nyerere Julius kambarage!!Mkuu hakuna haja ya kutukana watu kisa tu wameamua kutumia haki na uhuru wao wa kidemokrasia wapendavyo.
Ndani ya demokrasia ya vyama vingi, chama cha siasa hakiwezi kuepuka uhamaji wa wanachama wake.
Cha msingi kifocus kwenye sera, ilani na katiba yake.
Nikukumbushe kuwa kwenye siasa hakuna urafiki au uadui wa kudumu isipokuwa maslahi ya kudumu.