we jamaa huna fact yeyote hivi we umezaliwa tu umekuta wazazi wako wanasari may be ni wa kristo na we umekua mkristo na wangekua waislamu na we wenda ungekua muislamu tu...tatizo ukiwa sana pro na dini habari nyingine hutaki kusikia na unakua blind!...kama waafrika tulikua tuna abudu miti na milima...we unadhani ingekuaje kama hao wasingeleta dini zao huku? ungekua mkristo au....na umekua mkristo una imani gani kua hao waliokuletea dini wewe ni dini ya kweli? au waliitengeneza kwa manufaa yao binafsi? [/QUOTE]
Kuna uwezekano mkubwa hawa jamaa waliotuletea hizi dini walitengeneza kwa manufaa yao mkuu.Haiwezekani watu waje kukamata watu na kuwatumikisha(watumwa) kwa mijeledi huku ikifika muda wa kuswali wanawasimamisha huku wakiwa na minyororo shingoni wenyewe wanaenda kuswali kwa huyo mungu wao(Waislam na Allah wao)
Kwa upande mwingi hawa waizi na waporaji wa mali za Afrika nao wakaja na wao wakiwa na tamaa ya maliasili ya Afrika wakaleta kitu cha kutufanya makondoo dini ya ukristo na Yesu wao huku wenyewe wanapora mali zetu na kuwadhalilisha lakni kila jumapili wanaenda kanisani kusali....huu ni zaidi ya uzandiki na unafiki.
Waafrika kwa jinsi tulivyo na akili za madodoki tunanyonya kila kitu kilivyo pasi na kuhoji tumejivika ujuzi wa kuwatetea Miungu ya mashariki ya mbali mpaka povu inatutoka_wakati wao wala hata hawana habari na Afrika.
Miafrika ndio tulivyo_Nyani Ngabu...jf member
ni jukumu lako kunielimisha..usiponielimisha unatenda dhambi kwa kutotimiza ajibu wakousiwe na wasiwasi Kuna siku utaelewa Tu,

sisi tuliambiwa tunaabudu miungu na si Mungu.....sasa na hii jehova sharma, jehova nisi..na mengineyo imekaaje..is Christianity real Monotheistics?
ni jukumu lako kunielimisha..usiponielimisha unatenda dhambi kwa kutotimiza ajibu
nimekutoa hofu kila ulichopost huku jf amini ipo siku utaujua ukweli, ushauri wangu bure kabisa tumia muda Wako mchache unaoishi hapa duniani kufanya mambo sahihi,

hayo yako uliyofanya sahihi yako wapi
​monalisa
muthe_x;
leonardo da vinci ni moja ya wanasayansi waliojaribu kufanya kila aina ya ubunifu . Aliweza fanya ubunifu wa mwanzo kabisa wa baroon, aliweza kubuni aina ya mwanzo kabisa ya kifaru [kifaa cha vita] na vingine vingi…lakini pia alikua na kipaji cha ajabu cha uchoraji mfano picha maarufu ya monarisa. Lakini kitu kilicho amsha umakini juu ya mtu huyu ni suala lake la kudai ya kuwa yesu kristu alimuoa marry Magdalena na alikua na watoto wawili ambao kizazi chao kipo huko ulaya..kwa ufupi ni hayo tu
Leonardo Da Vinci hajawahi kusema kwamba Yesu alimuoa Mary Magdalene. Watu wanatafsiri hivyo kutokana na painting yake iitwayo "The last Supper" inayoonyesha Yesu na wanafunzi wake wakila karamu ya mwisho ambapo mtu ambaye yuko karibu kabisa na Yesu ni mwanamke.[/QUO sawa mkuu nakubaliana na hilo
google last supper/davinci code.......wanafalsafa wa kale wamekuwa wakidadisi kwa muda mrefu sana uhusiano tete kati ya yesu na Marry Magdalena...kuna waandishi wengi ambao waluigusia uhusiano huu na wakaishia kupotezwa na Romani empire ikiwamo Leonanardo davinci...baada ya mchoro huo Davinci alihama nchi yake kwa kuhofia maisha yake ambayo yaliwekwa rehani na utawala wa Roma wa kipindi chake...kisa chake kinamambo meni ..lakini simulizi ambazo zimeendelea kuzikwa ni ukweli kuhusu maisha ya Yesu...
1)..nini position ya Marry Magdalena b4, during & after jesus christ.
2) mbona alivuma ghafla katika biblia na kupotea ghafla baada ya kifo cha yesu..ni sawa na maisha ya Yoseph mme wa mama yake yesu nayo ni kizungu mkuti.
3) alegations kwamba yesu alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na Merry Magdalena na walipata watoto wawili ni za kale even b4 Leonardo who is did put the thing in public via drawings..na inasemekana baada ya kifo chake watoto na familia yake ilitoroshewa ulaya magharibi inasemekana hasa parts za Ireland/UK
hayo yako uliyofanya sahihi yako wapi
sijakuhukumu bro na wala sijasema mi nipo sahihi Ni ushauri Tu unaweza kuuchukua au kuacha
Hpo ndipo mtu mwenye akili timamu ataanzia kuutafuta ukweli
Kuna vita inaendelea ndugu yangu ya kumpaka matope huyu aliyebadilisha historia ya dunia!
Hapa ndipo wanaJF tunatakiwa tusome zaidi na kuelewa sana.Kuna Conspiracy Theories nyingi sana ambazo zinaendeshwa na watu mbali mbali kuhusiana na vitu vingi tu hasa hasa masuala ya imani.Wachangiaji wote wa uzi huu wameelezea kuhusiana na Leonardo Da Vinci lakini hawajaelezea kisa kilichosababisha watu Fulani Fulani wazushe ya kuwa Yesu Kristo alikuwa na mke na alizaa.Leonardo Da Vinci alikuwa mwanasayansi mzuri aliyefanya ubunifu wa vitu vilivyokuja kuboreshwa na wanasayansi wa zama zetu.Mbali na kubuni vitu kama vifaru vya kivita vilivyoboreshwa kipindi cha vita kuu ya I ya dunia alikuwa mchoraji mzuri.Usanii wake aliufanya Italia kwenye makanisa ya RC na hasa kwa katika makazi ya papa na majengo mbali mbali.Alichora michoro mingi na mingine alikufa bila kuimaliza na wasaidizi wake na watu waliokuwa karibu waliimalizia.Michoro maarufu zaidi ni The Last Supper,Monalisa na ule unaoonesha watu kadhaa wasio na nguo wamesimama .
Ili kujua zaidi kuhusu uzushi huu inabidi umjue DAN BROWN mtunzi wa vitabu kadhaa ambavyo kiubunifu anaibua madai kuwa Yesu alimuoa Maria Magdalena na wakazaa watoto.Kitabu hicho kinaitwa THE DA VINCI CODEambacho pia kimetengenezewa filamu iliyoigizwa na mhusika mkuu ni Tom Hanks.Vitabu vyake vingine ni DIGITAL FORTRESS,DECEPTION POINT,INFERNO,THE LOST SYMBOL na ANGELS AND DEMONS. Unaweza kutembelea hapa nilipogoogle The Da Vinci Code - Dan Brown - Google Books
Vitabu vyote hivi ni Fiction ambayo maana yake kwa mujibu wa Concise Oxford English Dictionary toleo la 11 maana yake ni Prose literature,especially novels describing imaginary events or people,a thing that is invented or untrue na a false belief or statement,accepted as true because it is expedient to do so.Maana ya neno expedient inamaanisha convenient and practical although possibly improper or immoral.
Ni kweli kuna vitabu ambavyo vilikataliwa na watheologia wa madhehebu ya kiprotestanti walivikataa kuingia katika Biblia sababu ikiwa zilikuwa ni hadithi ambazo waliona havifai kuwa neno la Mungu.Vinaitwa vitabu vya APOKRIFA mfano Hekima ya Yoshua Bin Sira,Beli na Joka,Wamakabayo nimetajaavichache.
Kwa kumalizia Leonardo Da Vinci alichora picha na alibuni vitu vizuri ambavyo leo wajuzi wasioamini na wenye malengo tofauti wanatumia sanaa zake kuwapotosha wengi.Si kweli Yesu alimuoa Maria Magdalena na walipata watoto.
Nakaribisha mawazo mbadala na uchangiaji mpana zaidi kuhusu mada hii
Naona umeanza kwa kujadili vizuri, lakini umemalizia kwa kufunga mjadala badala ya kuuacha wazi. Kwa nini unasema kuwa si kweli yesu alimuoa Mary Magdalene? Ni kwa sababu tu haikuandikwa hivyo kwenye biblia au una sababu nyingine ya kusema hivyo?
Mkuu familia sio jambo la siri na wala haliwezi kufunikwa kirahisi kama unavyofikiria kwani hao watoto wa Yesu wasingependa kufahamika kama watoto wa Yesu? Nina mwenye uwezo wa kuifunika hii familia ya Yesu muda karne zote hizo kuna uwezekano Yesu alikuwa karibu na Magdalena lakini sio ukaribu wa kimahaba kama baadhi ya watu wanavyotaka kuwaaminisha watu na huo ukaribu ndio msingi wa huu uvumi wa kua Yesu alizaa na Magdalena
Hapa ndipo wanaJF tunatakiwa tusome zaidi na kuelewa sana.Kuna Conspiracy Theories nyingi sana ambazo zinaendeshwa na watu mbali mbali kuhusiana na vitu vingi tu hasa hasa masuala ya imani.Wachangiaji wote wa uzi huu wameelezea kuhusiana na Leonardo Da Vinci lakini hawajaelezea kisa kilichosababisha watu Fulani Fulani wazushe ya kuwa Yesu Kristo alikuwa na mke na alizaa.Leonardo Da Vinci alikuwa mwanasayansi mzuri aliyefanya ubunifu wa vitu vilivyokuja kuboreshwa na wanasayansi wa zama zetu.Mbali na kubuni vitu kama vifaru vya kivita vilivyoboreshwa kipindi cha vita kuu ya I ya dunia alikuwa mchoraji mzuri.Usanii wake aliufanya Italia kwenye makanisa ya RC na hasa kwa katika makazi ya papa na majengo mbali mbali.Alichora michoro mingi na mingine alikufa bila kuimaliza na wasaidizi wake na watu waliokuwa karibu waliimalizia.Michoro maarufu zaidi ni The Last Supper,Monalisa na ule unaoonesha watu kadhaa wasio na nguo wamesimama .
Ili kujua zaidi kuhusu uzushi huu inabidi umjue DAN BROWN mtunzi wa vitabu kadhaa ambavyo kiubunifu anaibua madai kuwa Yesu alimuoa Maria Magdalena na wakazaa watoto.Kitabu hicho kinaitwa THE DA VINCI CODEambacho pia kimetengenezewa filamu iliyoigizwa na mhusika mkuu ni Tom Hanks.Vitabu vyake vingine ni DIGITAL FORTRESS,DECEPTION POINT,INFERNO,THE LOST SYMBOL na ANGELS AND DEMONS. Unaweza kutembelea hapa nilipogoogle The Da Vinci Code - Dan Brown - Google Books
Vitabu vyote hivi ni Fiction ambayo maana yake kwa mujibu wa Concise Oxford English Dictionary toleo la 11 maana yake ni Prose literature,especially novels describing imaginary events or people,a thing that is invented or untrue na a false belief or statement,accepted as true because it is expedient to do so.Maana ya neno expedient inamaanisha convenient and practical although possibly improper or immoral.
Ni kweli kuna vitabu ambavyo vilikataliwa na watheologia wa madhehebu ya kiprotestanti walivikataa kuingia katika Biblia sababu ikiwa zilikuwa ni hadithi ambazo waliona havifai kuwa neno la Mungu.Vinaitwa vitabu vya APOKRIFA mfano Hekima ya Yoshua Bin Sira,Beli na Joka,Wamakabayo nimetajaavichache.
Kwa kumalizia Leonardo Da Vinci alichora picha na alibuni vitu vizuri ambavyo leo wajuzi wasioamini na wenye malengo tofauti wanatumia sanaa zake kuwapotosha wengi.Si kweli Yesu alimuoa Maria Magdalena na walipata watoto.
Nakaribisha mawazo mbadala na uchangiaji mpana zaidi kuhusu mada hii
mkuu hebu tuambie kwa nini watu wamzushie.........kaka hao wanatheologia waliokataa vitabu coz ni simulizi ndio walionza kuijua siri na kuzificha...kama bible iliandikwa kwa uwezo wa roho mtakatifu...nani aliwapa mamlaka wanatheologia kutambua huyu alikuwa na upako na huyu hakuwa na upako waite maandishi yake ni simulizi......ndugu kumbuka mengi sana yamefichwa na utawala wa Roma..kiasi ambacho yakifumuka..unaweza kuona aibu kuitwa mkristu
Mkuu familia sio jambo la siri na wala haliwezi kufunikwa kirahisi kama unavyofikiria kwani hao watoto wa Yesu wasingependa kufahamika kama watoto wa Yesu? Nina mwenye uwezo wa kuifunika hii familia ya Yesu muda karne zote hizo kuna uwezekano Yesu alikuwa karibu na Magdalena lakini sio ukaribu wa kimahaba kama baadhi ya watu wanavyotaka kuwaaminisha watu na huo ukaribu ndio msingi wa huu uvumi wa kua Yesu alizaa na Magdalena
mkuu hebu tuambie kwa nini watu wamzushie.........kaka hao wanatheologia waliokataa vitabu coz ni simulizi ndio walionza kuijua siri na kuzificha...kama bible iliandikwa kwa uwezo wa roho mtakatifu...nani aliwapa mamlaka wanatheologia kutambua huyu alikuwa na upako na huyu hakuwa na upako waite maandishi yake ni simulizi......ndugu kumbuka mengi sana yamefichwa na utawala wa Roma..kiasi ambacho yakifumuka..unaweza kuona aibu kuitwa mkristu
mkuu huyo mwandishi DAN BROWN aliandika vitabu vyake vyote baada ya miaka mingi sana kupita tangu kufa kwa Leonardo Davinci ,kutokana na michoro ya davinc..hakuibua yeye taarifa hizo.....Leonardo alizikuta taarifa hizo......, usimuhukumu mwandishi...tuambie uzushi huo ulianza lini na kwa nini.....kwa nini wanatheologia wanawashambulia sana watu wanaoleta taarifa hizo..kwa nini wengine waliuwawa, kwa nini waliokuwa wanahoji kuhusu bible na ukristu kwa ujumla waliishi kwa tabu sana zama hizo?.........mkuu usichezeshe Lugha......tunajua fiction ni kitu cha Kubuni....lakini hii kitu ni Fact though is highly probable