Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,667
- 698,561
Mzee umeandika kama shabiki na sio mpenzi wa mpira...
Marefa wa kibongo wanazingua sana kwenye kutafsiri sheria, kupeta zinapocheza timu kubwa hizo n.k
Mzee umeandika kama shabiki na sio mpenzi wa mpira...
Marefa wa kibongo wanazingua sana kwenye kutafsiri sheria, kupeta zinapocheza timu kubwa hizo n.k
Mimi tangu nimezaliwa kuna timu sijawahi kuishuhudia ikicheza hatua ya makundi ya CAF Champions LeagueMwisho wa kituo chenu Makolokolo FC ni makundi, sana sana mkijiita IDI ni robo fainali.
Endeleeni kuwa wasindikizaji bora wa CAF
Makundi kuna kombe ganiMimi tangu nimezaliwa kuna timu sijawahi kuishuhudia ikicheza hatua ya makundi ya CAF Champions League
Inaelekea Mshana kaumia sana! Pole mkuu
Nyie mlifika lini huko?!Mwisho wa kituo chenu Makolokolo FC ni makundi, sana sana mkijiita IDI ni robo fainali.
Endeleeni kuwa wasindikizaji bora wa CAF
alafu ujue wewe kima kuingia tuu makundi unavuna almost 1.5 bilioni, kuingia robo almost 2.4 bilioni sasa huoni kama huna akili jamaa yangu???Mwisho wa kituo chenu Makolokolo FC ni makundi, sana sana mkijiita IDI ni robo fainali.
Endeleeni kuwa wasindikizaji bora wa CAF
Simba nazi au Simba backing powder?SIMBA inajiweza kujibeba haihitaji mbeleko ndio maana iko kimataifa zaidi
SIMBA inajiweza kujibeba haihitaji mbeleko ndio maana iko kimataifa zaidi
usijizime data,zamu ya Simba ilishapita tena ilikuwa ni zamu kuu kuliko hata hii ya Yanga. mikia inajifanya misahaulifu sana ila sisi tuna-deal na maktaba za kidigitali.Swala la Simba na Yanga kubebwa na marefa ni kitu endelevu na haitatokea siku itaisha. Leo Simba wanawazomea Yanga kwa kupewa penati isiyo ya halali kesho hao hao Simba watafunga goli la offside ya wazi dhidi ya kitimu fulani.
Anayepinga aingie YouTube atapata majibu. Kuna ile mechi ya Yanga na Azam mpira ulitoka refa akaacha baadae likawa goli, vile vile mechi ya Prison na Simba Mbeya Kibu Denis akiwa offside aliurudisha ndani mpira uliokuwa umetoka na Mkude akafunga.Huu ndio ukweli wasiopenda kuusikia mashabiki wa hizi timu kongwe.
Kila mtu anaezaliwa nchi hii, eitha ni Simba au Yanga. Hata kama hafuatilii mpira ila kimoyomoyo kuna moja kati ya hizi timu itamvutia. Ndivyo ilivyo hata kwa marefa wetu nao wamechagua upande toka walipozaliwa.
Kama Rais wa TFF mwenyewe anashutumiwa kuipendelea moja ya hizi timu sembuse marefa? Thubutu! Simba na Yanga kubebwa na marefa ni mwendo wa kupokezana leo Doto, kesho Kulwa sema atakayekuwa vibaya kwenye hicho kipindi ndo atahisi mwenzake anahonga marefa.
Subirini kituko kingine kesho.
Msikilize JK hapa! Haya sio maneno yangu mimi.. Ni ya mwanayanga prominent