Leo yamenikuta, sirudii tena

Leo yamenikuta, sirudii tena

sirudii tena
kwani unakula miguu Mkuu, kuna kabila moja huku kwetu miguu ya kuku hawatupi
Na wamejaaliwa mzigo ni tani 10 lakini matairi spoke naona umekutana nao
Nitumie No. zake za Mobile hao ndio tunaowataka
 
kwani unakula miguu Mkuu, kuna kabila moja huku kwetu miguu ya kuku hawatupi
Na wamejaaliwa mzigo ni tani 10 lakini matairi spoke naona umekutana nao
Nitumie No. zake za Mobile hao ndio tunaowataka

hahahaha. ...mkuu hio ni kama flamingo
 
Umejitahidi sana kunipotezea muda kusoma hii poor kitu!
 
yaan acha tu.....nimemtuma mtu akachukue ka Alteza kangu mm naogopa asee

embu weka pic yako kwanza tuanzie kwako maana wenda wewe ndo kakukimbia ulivokuwa kifuupi afu chembamba na vitisheti vya simba. Kama nadanyanya weka pic acha kumtus mdada wa watu
 
Back
Top Bottom