Leo yamenikuta, sirudii tena

embu weka pic yako kwanza tuanzie kwako maana wenda wewe ndo kakukimbia ulivokuwa kifuupi afu chembamba na vitisheti vya simba. Kama nadanyanya weka pic acha kumtus mdada wa watu

mkuu mm most wanted niktupia pic apa mtaonA najidai
 
Haaaaaaaah ukome tu tena sana mwenzio nae alitongoza sauti kuja kuonan ana kw ana ni mwanaume mwenzie ambae ni shoga
 
Haaaaaaaah ukome tu tena sana mwenzio nae alitongoza sauti kuja kuonan ana kw ana ni mwanaume mwenzie ambae ni shoga

heeee!!kumbe bora mm...shoga tena ningekimbia mpaka nisahau na nyumban
 
yani ni bora ingekuwa evolution ndo haijakamilika sasa huyo revolution kutokamilika inaweza kuishia kama mambo ya nkurunzinza.

Yaani nami nimejiuliza hii revolution ya mtoa mada maana yake nini? Ama huyo mtu ndio yule kiongozi wa mapinduzi yaliyofeli burundi kakimbilia bongo kajifanya mdada?
 
mkuu hapana....mm ashaniona pitia inster,whatsup ila yy ilikua mwendo wa pasport......sasa leo ndio nimemwona akiwa mzma ikabd nifungue turbo


Kumuogopa binadamu mwenzako ni vibaya wewe ungejitokeza tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom