Leo yamenikuta, sirudii tena

Kwa hiyo tulio jazia juu na kuminywa chini hatuna haki ya kupendwa???

haki hiyo mnayo ila sasa inategemea na mpendaji....alafu muwe mnaweka ful pics bas ili tujue ulivo co pasport kama unasajili necta
 
Vp wadau

Kwa kipindi kirefu nimekuwa najaribu bahati yangu kuopoa kifaa toka social networks tofaut tofauti kwani wadau kibao wanasema kule ni rahisi afu unang'oa vitu tbs.

Wiki iliopita c nikazama kuleeee Ze BADOO kucheki kama kwel,sasa haikupita siku kimwana akajileta mzma mzma ila sasa picha zake ni mwendo wa pasport tu had inster,whatsap ni vilevile ila usoni kama amejiumba vile yaani mkal acha tu.

Event ilikua leo tukutane na ikiwezakana na mechi ya kirafiki ipigwe.Sasa mimi nikawahi eneo la tukio ili nimcheki kama akija sio saizi yangu nijue what to do au kama chenga nimpige tobo nisepe.Kidogo anasema kafika ikabidi nichomeke vizuri jeans langu na,shati mpya kabsa ili nimlaki malkia huyu mweny uso hatari nikijua uzuri wake unasadifu na huku chini.

Nikapga simu akati nimejibanza,mama yangu sikjaamini macho yangu yani yule bado revolution haijakamilka yaani uku dwn chenga kabsa nimekimbia hadi nikasahau Alteza yangu na kupanda bodaboda.wadau mm kuanzia leo nimekoma bora nimtongoze mtu baada ya kumwona ila sio mtu anapiga picha za usoni tu ukakurupuka..hadi sasa nimezima ile simu ya kazi maana asee hata kama mapenzi hayachagui ila yule nitamtesa tu

Yah, revolution... teh teh teh

Lazma mtakua msituni mtahangaika na ukombozi uliokwisha kamilika
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom