Vannele!!! ulitakiwa kutafakari kabla ya kuchukua hatua, nina maana gani kwa kuwa ndoa yako haijamaliza mwaka, ulitakiwa ukae kimyaaaaaaaaaa!!! ukiwa unamwomba MUNGU afanye muujiza wake kwa kuwajibu wsemao huzai, kwa sababu leo umefanya hilo mumeo amekuunga mkono kwa sababu bado anakuoenda, ila kumbuka iko siku ataungana na nduguze kukushambulia pale utakapokaa muda mrefu bila ya kupata mtoto, na yy anahitaji mtoto, hapo ndipo utakiona cha MTO, maana atakuwa anaunga mkono hoja za nduguze kuwa walikuwa wanasema ukweli kuwa wewe huzai, na amethibitisha hilo. So Muungwana ni vitendo, si maneno. Ungengoja upate mtoto ndipo uwaringie kwa kuwaonyesha kuwa wao wamekosea.
Kwahiyo huyo wifi ataondoka au ataendelea kukaa kwenu? Kama ataendelea kukaa kwenu matatizo lazima yatakuwepo alitakiwa aambiwe hakuna tena kukaa kwa kakaake atapewa misaada akiwa huko kwao aiache kabisa ndoa yenuWapendwa tumesuluishwa kwenye kikao kilichoitishwa kwao mume wangu... Haikuwa kazi rahisi lakini namshukuru Mungu tumeyamaliza na tumesameheana na tumekubaliana kuanza kurasa mpya na tusahau yaliyopita...
heee we unauhakika gani huyo mumewe anazaa asilimia 50 ya men wa tanzania hawana uwezo wakupachika mimba,iweje waje wamshambulie kua hazai
Leo atajibeba... Nimemchoka nimechoka wifi yangu na maneno yake ya kunisakama eti sizai... Najaza choo wakati ndoa yenyewe hata mwaka mmoja bado... Leo kaingia choo cha kiume... Nimemkaribisha chumbani nimemfungulia bafu la chumbani kwangu ameoga, nimempa taulo langu amejifutia,kila kitu nimeshea nae kila kitu changu na night dress yangu nimempa amevaa... Sasa nimemfungia chumbani kwangu... Nimemwambia tumeshea kila kitu sasa na mume wangu anakuja yupo njiani na yeye tushee... Ye si anaona mi nafaidi... Alale na kaka yake apate mimba kama anaona mie nimeshindwa...
Mpenzi kuolewa ni sheria kuzaa ni majaliwa...
umenikumbusha kisa cha rafiki yangu mmoja bibi mkwe kila siku anampigia kelele kwann haongezi mtoto mwinine licha ya kwamba mwanae wa kwanza ana umri mkubwa.
Bnti siku alikasirika akamwita bibi akafungua mlango wa chumba chake akamwambie '' BIBI UNAONA KILE KITANDA?? NDICHO NINANACHOLALAGA NA MUMEWANGU KILA SIKU SASA LEO PANDA NA WEWE UKALALE NAE UONE JINSI NINAVYOFAIDI UKIWEZA UMZALIE NA MTOTO WA PILI''
af wewe kila nikikuona unantia hasira!
back to ze topic
kuna mwingine alikuwa kila akizaa watoto wanafanana nae,mama mke ananunajeeee akaamua siku kumotlea uvivu
oh yani mwanangu hana bahati maskini kila siku watoto kufanana na mama yao kha!
mwali alikuwa chumbani anaogesha mwanae akasikia hilo neno na bibi anamwambia wifi mtu
unajua alimwambia nini
''mama tumbo langu ni la uzazi na chakula sio PHOTOCOPY MACHINE WALA SCANNER"
ahahahhahah nacheka kama mazuri!
Ulilosema ni sawa, ila huyo asemaye kuwa nina hakika gani mumeo anazaa, ndipo nami nikamuuliza na yeye ana hakika gani wewe unazaa. elewa nilimuuliza kwa nn, mimi nilitoa ushauri wangu mzuri yeye akaja niuliza hilo swali nami nikamuuliza. sasa unaposema hayo sikuelewi.
Na tatizo kubwa lililojengeka kwa jamii zetu wanajua mtu anayeolewa kwao ni adui... Yaani saa zote wapo attention kuangalia dosari ili wapate la kusema... Unaweza ukatenda mema 1000 lakini baya 1 tu litakuondolea thamani kwa wakwe utasakamwa wee hadi ujute kuolewa... Jamani sisi waolewaji ni binadamu na si malaika kuna wakati tunakosea tuchukuliane mizigo na sio kutufanya wapinzani wa jadi kama simba na yanga...
Leo atajibeba... Nimemchoka nimechoka wifi yangu na maneno yake ya kunisakama eti sizai... Najaza choo wakati ndoa yenyewe hata mwaka mmoja bado... Leo kaingia choo cha kiume... Nimemkaribisha chumbani nimemfungulia bafu la chumbani kwangu ameoga, nimempa taulo langu amejifutia,kila kitu nimeshea nae kila kitu changu na night dress yangu nimempa amevaa... Sasa nimemfungia chumbani kwangu... Nimemwambia tumeshea kila kitu sasa na mume wangu anakuja yupo njiani na yeye tushee... Ye si anaona mi nafaidi... Alale na kaka yake apate mimba kama anaona mie nimeshindwa...
Mawifi wengine ni wabaya sana wao wapo kwaajili ya kuharibu ndoa za kaka zao wakati maisha yao yamewashinda. Hata uwafanyie wema tarajia maumivu hawana shukrani kabisa mbaka mtu unaweza ukajutia ndoa hata raha huna kwenye nyumba yako mawifi wengine wana laana kuna moja nimelishuhudia likifirahia kaka yake kuwa na kimada na kuzaa nje ya ndoa alaaniwe wifi wa namna hii na kizazi chake pia kilaaniweNa tatizo kubwa lililojengeka kwa jamii zetu wanajua mtu anayeolewa kwao ni adui... Yaani saa zote wapo attention kuangalia dosari ili wapate la kusema... Unaweza ukatenda mema 1000 lakini baya 1 tu litakuondolea thamani kwa wakwe utasakamwa wee hadi ujute kuolewa... Jamani sisi waolewaji ni binadamu na si malaika kuna wakati tunakosea tuchukuliane mizigo na sio kutufanya wapinzani wa jadi kama simba na yanga...