accused
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 2,496
- 2,743
Leo katika ibada ya mwaka mpya huko Nigeria katika kanisa la Synagogue church of all nations ,watanzania wengi waliohudhuria misa hiyo wamepata Bahati ya kuguswa moja kwa moja na nabii Joshua.
Yatima mmoja mdada alipoguswa na kuanza kuhojiwa na mtumishi huyo ,ambapo mtumishi huyo alimwambia your an orphan ,yeye alijibu straight Japo kwa shida kua am not spiking ingilish,akiyatamka maneno hayo kama aongea kiswahili kabisa, Joshua aliamuru apelekwe chamber ili akamuombee baada ya ibada.
Mama mwingine alisema alikutana na kijana mmoja ndani ya bus na kijana akamwambia kua hana wazazi na mama huyo aliamua kuishi nae, kwasasa kijana huyo yupo na anafanya internship Muhimbili hospital,
Cha kushangaza Joshua kamwambia mama huyo kua kijana huyo ni tatizo kwake na ndiyo anaemletea mikosi, na ajiandae kisaikolojia kwakua kijana huyu atamletea tatizo kubwa zaidi.(kwema wkt mwingine ni tatizo)