klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,147
na huo ndio ufafanuzi nilokuwa nausubiria, halaf bana senks ile kitu imekuwa successful, sasa hivi nina haraka nitakutafta kwa muda wangu, nitayarishie kawimbo kamoja ka kunichombeza chombeza.Si wamepumzika...you know..kama mimi na wewe hivi!!lolz
Wee mtu mbona uliniacha kwenye mataa una kesi ya kujibumy buraza from another mazeri hau are u
lizy ushapata sehemu ya kuvoluntia mpenzi niko tait sana nikipata nafasi nitakutafutia mamitosi wamepumzika...you know..kama mimi na wewe hivi!!lolz
Kwa post hii Klorokwin anaweza kugeuka kipofu ghaflaSi wamepumzika...you know..kama mimi na wewe hivi!!lolz
I see kila demu humu wako sasa sisi tutaponea wapi jamani?
Boss tatizo sharks wengine meno yao butu, na sharks wengine cant even harm or cause accident...lolna the 'tiny fish'
nahakikisha yuko srrounded na all types of sharks lol
kazi kwenu lol
na huo ndio ufafanuzi nilokuwa nausubiria, halaf bana senks ile kitu imekuwa successful, sasa hivi nina haraka nitakutafta kwa muda wangu, nitayarishie kawimbo kamoja ka kunichombeza chombeza.
lizy ushapata sehemu ya kuvoluntia mpenzi niko tait sana nikipata nafasi nitakutafutia mamito
Kwa post hii Klorokwin anaweza kugeuka kipofu ghafla
Hahahaha!! Ndio maana huu mwezi umekuwa butu sijapata PM hata moja kumbe ulikuwa unafanya mambo yako, umenikumbusha Gee aliulizwa kitu gani angependa kuona JF eti akasema PM zangu na za kwako...dah Gee sijui yuko mitaa gani leounaongea kwa confidence sana leo
ngoja'nimalize homework' lol
halafu uone pm hazijibiwi lol
Kijana wa Tandale kwa bibi nyau hajazoea mambo hayo...amezoea vile vibinti vya kwenye mchiriku wa Omary Majaliwa na JagwaHahahha....mi nlidhani nyie msohusika ndo mtapofuka!!
Ohhh really??AWSOME...can't wait to hear all about it!!
Hehehhe....we unataka kuchombezwa wakati huwezi kuchombeza??Lolzz...ohh alafu usisahau next week!!Lasivyo una kesi!
heheheeh baeleze bana! na vichwa vyao kama sungura yatimaHahahha....mi nlidhani nyie msohusika ndo mtapofuka!!
Wee mtu mbona uliniacha kwenye mataa una kesi ya kujibu
Hahahaha!! Ndio maana huu mwezi umekuwa butu sijapata PM hata moja kumbe ulikuwa unafanya mambo yako, umenikumbusha Gee aliulizwa kitu gani angependa kuona JF eti akasema PM zangu na za kwako...dah Gee sijui yuko mitaa gani leo
heheheeh baeleze bana! na vichwa vyao kama sungura yatima