LEO umesali WAPI? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

LEO umesali WAPI?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by VUTA-NKUVUTE, Oct 7, 2012.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  Oct 7, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,792
  Likes Received: 5,695
  Trophy Points: 280
  Misa ya saa ngapi na ya ngapi? Padre/Mchungaji/Askofu/Mtume na Nabii amefundisha kuhusu nini?
   
 2. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #2
  Oct 7, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 23,439
  Likes Received: 3,236
  Trophy Points: 280
  Napita jamani.
   
 3. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #3
  Oct 7, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,792
  Likes Received: 5,695
  Trophy Points: 280
  Unaelekea wapi? Uko na nani?
   
 4. CUTE

  CUTE JF-Expert Member

  #4
  Oct 7, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 1,237
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  napenda kweli ila niliko hakuna makanisa sana yani yako mbali kinoma na wengi hawaamini mungu so tabu kweli so nasali peke yangu ndani siku zote
   
 5. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #5
  Oct 7, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 25,276
  Likes Received: 7,082
  Trophy Points: 280
  Nilisali Mabibo na Mchg alihubiri juu ya Imani iletayo Ushindi na Neno lilitoka Waebrania 15:1-10.
  Alisisitiza tuwe wenye maono chanya juu ya kazi zetu tuwe wabunifu kuliko kubweteka na kurushia matatizo yetu kwa wengine. Kweli tumetiana Moyo na hapa ndipo ninapoiona tofauti yetu na wao
   
 6. Catherine

  Catherine JF-Expert Member

  #6
  Oct 7, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 1,264
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  halleluyah!
   
 7. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #7
  Oct 7, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 27,846
  Likes Received: 6,696
  Trophy Points: 280
  St. Peter' s...English mass
  Padre ni mgeni....Mass imenibariki sanaaa full maupako...
   
 8. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #8
  Oct 7, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,328
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 160
  Parokia ya "Roho Mtakatifu" Ngarenaro (Kwa Fr. Babu) Arusha. Masomo yalitoka katika Vitabu vya Mwanzo na Luka na yalihusu Ndoa. Yaani Kijana atamwacha baba na mama yake na ataambatana na mkewe. Hao wawili watakuwa mwili mmoja na alichokiunganisha Mungu, binadamu hawezi kutenganisha! Nimebarikiwa sana leo, j2 ya 27, mwaka B wa kanisa!
  Kama mimi na wife wangu marejesho. Lol....
   
 9. GREAT VISIONAIRE

  GREAT VISIONAIRE Senior Member

  #9
  Oct 7, 2012
  Joined: Sep 28, 2012
  Messages: 177
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  wanaolala kanisani hawa hawajui nini kilichofundishwa
   
 10. GREAT VISIONAIRE

  GREAT VISIONAIRE Senior Member

  #10
  Oct 7, 2012
  Joined: Sep 28, 2012
  Messages: 177
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  heri wenye kiu na haki kwa maana .............
   
 11. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #11
  Oct 7, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,107
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 0
  KKKT Usharika wa Kijenge. Leo kwetu tumesheherekea Mikael na Watoto, moja ya masomo lilikuwa ni Mathayo 18: 1-10.
   
 12. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #12
  Oct 7, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 25,276
  Likes Received: 7,082
  Trophy Points: 280
  Una maaana nanihiii alikua amelala?
   
 13. mshana org

  mshana org JF-Expert Member

  #13
  Oct 7, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 2,103
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  nawasalimutu
   
 14. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #14
  Oct 7, 2012
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,940
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Nimesali DCT Tabata. Leo ilikuwa sikukuu ya vijana na neno kuu lilikuwa Kolosai 3 :1-2
   
 15. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #15
  Oct 7, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Nimesali DPC, sikufanikiwa kusikia jina la Rev. b'se nilikua bize kubrauzi JF..
   
 16. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #16
  Oct 8, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 28,162
  Likes Received: 4,129
  Trophy Points: 280
  Nilienda shamba sikujaliwa kusali.
   
Loading...