falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,186
- 9,288
Kwa kuwa leo ni siku ya wanawake na sehemu nyingi hasa kwenye Radio na TV station wamewaachia kuendesha wanawake kwayo wanaume wenzangu humu mnaonaje nasi humu leo tuwaachie wanawake ndo wachart peke yao mpaka usiku saa 5:59 sisi tusome comment zao tu? Nawakilisha hoja @mods