Leo tupeane uzoefu wako, unajua nini kuhusu huyu kiumbe vunja jungu? (Mantis) je ni kweli ana super natural kama wazungu wanavyoamini?

Kuwa na akili nyingi na kuwa na commitment ni vitu viwili tofauti. Kwa sababu;
Mtunga sera ni mwingine na msimamizi na mtekelezaji wa sera ni mwingine.
Hata sera tulizoiga kwa wazungu na marekani zilizotungwa zomefeli kwetu.
Jambo kubwa ni utashi na uzalendo na maono.
Mfano bandari tunayo miaka yote tangu uhuru. Mfumo wa uendeshaji wa bandari haujabuniwa na waswahili bali wazungu. Vifaa vimebuniwa na wazungu sisi kazi yetu ni kuvinunua na kuvitumia ila havina tija. Je hapo sababu ni akili au commitment?
Ni akili gani inahitsjika hapo zaidi ya utekelezaji?
Nitakuelewa kama utasema ubinafsi, kutojali na kikosa uzalendo.
Mambo mengi yameishabuniwa kazi yetu ni kuyasimamia tu wala hayahitaji akili kubwa.
Wachina wanakauli yao inasema no "need to reinvent the wheel just copy it and modify it to suit your need".
Wapi sisi tunahitaji akili nyingi?
Mtandaoni kuna China plan 2020-2025 kujitosheleza kiteknolojia. Wameandika kila kitu mle. Je sisi tupange mpango kama huo wakati tayari mchina kauweka wazi kabisa.
Je unahitaji akili gani hapo wakati wenye wameisha kutafunia kila kitu.
Guy! sisi tunashindwa kwa kukosa commitment labda na pesa.
Kufanya monitoring ya mpango mkubwa gharama yake si ndogo bila kusahau majizi.
Unataka kuniambua majizi yanayotuibia hayana akili kubwa?
Je ni jeli watanzania milioni 60+ gskuna wenye akili kubwa?
Tunafeli kwenye management abd administration,hatuna akiki za kusimamia mambo
 
Back
Top Bottom