comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,291
- 16,731
Muda ndio hiiNgoja nifikirie kwanza muda bado upo.
Wapi mpo sasahiviKuandamana
Safi sanaNisha kula mchele wangu
Asubuhi asubuhi nimekula ganzi ya elfu 50 Kwa mrusi hapa nimelala tu.
Hahah! Nimefungua JF kwaajili yako halafu nakutana na tag, shukrani kwa kunikumbuka ๐Leo sitoki natulia hapa hapa mtaani Mikocheni
Razorblade unaenda wapi leo?