LEO TUNAFUNGUKA, HAKUNA KUONEANA AIBU

LEO TUNAFUNGUKA, HAKUNA KUONEANA AIBU

Yule anayepost wa kwanza halafu anasema "amewahi siti anasubiri wadau waje wachangie" huo ni ufandimbo.
Pia, huwa sipendi watu kurudia rudia kunakiri thread nzima, tena yaweza kuwa ndeeeefuu , kisha anachangia maneno machaaache!
Huko ni kuchoshana tu, ingawa siwezi kurudia kusoma.
 
Daah,huwa nakereka sana kuona kwenye mada ya msingi yenye kuhitaji maoni yakinifu mtu analeta uhayawani na mizaha ya kijinga. Huwa nakasirika sana.

Salamu ziwafikie....!
hahaaa mkuu hili bango n langu haki ya nani, so sorry kumbe nilikukwaza, nakumbuka jana kwenye uzi wako niliandka CCM OYEEEEE???? na siku nyingne niliandka CCM INAWATAKIA ASUBUH NJEMA,
niwie radh ndugu yangu, m utani umezd kwa kweli, humu 99% ya comments zangu n utani, juz nimekula block kweny grp la familia, nilishawah leta utani mpk kwenye ndoa ya watu nusura niiue na mm nimalizwe, nishawah pia kufukuzwa msiban sababu ya utani,

This is too much inabd nijitahd kujirekebisha , japo umenisaidia sana na kuniweka karb na watu weng ila wengne ndo kama hv nawakwaza,

Ila kejeli, dharau na matusi hutokuja kuona kwenye comments zangu(hua sinaga nia ya kumkwaza mtu kwa makusudi)

Am soo soo sorry ndugu,
 
Hili tabia la watu 'kuwahi siti' na 'ngoja waje" ni ungese kiwango cha lami
 
Back
Top Bottom