epicurus
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 282
- 179
mtu kujifanya anakujuuuua..mxieww
Nakujua aseeee rebeca 83
mtu kujifanya anakujuuuua..mxieww
Kula rambirambi! Utakuta watz wanachanga halafu jiwe anapiga hesabu za kutumia rambirambi kununulia kivuko kingine
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
we dada nadhan nshawah kukuta mbeya unakunywa chai na maandazi mawili na kikombe kilikua cheupe ... Mi ndo yule mkaka niliyekuomba namba ukanipa namba ya dingi ako looh sikusahau ujue
mkuu unatania au kweli? 😀
Kijana wa pole pole huyo
Sipendi wapiga chabo na wachoyo.Jitu linachungulia kimya kimya hatuna like wala neno
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]we dada nadhan nshawah kukuta mbeya unakunywa chai na maandazi mawili na kikombe kilikua cheupe ... Mi ndo yule mkaka niliyekuomba namba ukanipa namba ya dingi ako looh sikusahau ujue
[emoji3] kwahiyo hapo hujatukana!Nilitaka nikutukane basi tu, nilipigwa ban fala wewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]"Nimewahi siti, ngoja waje" haka katabia kaki$e#ge sana
Hapana, nipo live.[emoji3] kwahiyo hapo hujatukana!