NYEKUNDU YA BIBI
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 2,307
- 3,020
[emoji15] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Kula rambirambi! Utakuta watz wanachanga halafu jiwe anapiga hesabu za kutumia rambirambi kununulia kivuko kingine
[emoji15] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Kula rambirambi! Utakuta watz wanachanga halafu jiwe anapiga hesabu za kutumia rambirambi kununulia kivuko kingine
Tena ndio ishakuwa mchezo sasaa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja waje
[emoji2] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Matusi. Nakereka sana na lugha za matusi. Atukanaye siku zote ni asiyejielewa na aliyeishiwa hoja hasa wafuasi wa chadema.
Kuna kipindi walikuwa wanapiga ban sababu ya hayo manenoTena ndio ishakuwa mchezo sasaa.
hahah huo utaratibu urudi tu maana ishakuwa upuuzi sasa.Kuna kipindi walikuwa wanapiga ban sababu ya hayo maneno
Hahaha tatizo ban la muda mfupi tu wangeongeza muda kidogohahah huo utaratibu urudi tu maana ishakuwa upuuzi sasa.
Mmmmh hizo ban za muda mrefuuu sio atiii, usinikumbushe ban langu la mwisho hilooo sitaki hata kukumbuka.Hahaha tatizo ban la muda mfupi tu wangeongeza muda kidogo
Huhuhu polee mimi nilipigwa la siku kisa hayo ngoja wajeMmmmh hizo ban za muda mrefuuu sio atiii, usinikumbushe ban langu la mwisho hilooo sitaki hata kukumbuka.
Haa haa haa mwehu sugu nakuonaNyie wote mliochangia hapa ni wehu kweli kweli!
hahahaha kumbe na wewee ni mdau mkubwa tu, basi ngoja wajeeHuhuhu polee mimi nilipigwa la siku kisa hayo ngoja waje
Haa haa haaKula rambirambi! Utakuta watz wanachanga halafu jiwe anapiga hesabu za kutumia rambirambi kununulia kivuko kingine
Hahahahahhaha wanakuja [emoji23][emoji23][emoji23]hahahaha kumbe na wewee ni mdau mkubwa tu, basi ngoja wajee
sasaa sijui ni wakina nani hao wanaokuja,Hahahahahhaha wanakuja [emoji23][emoji23][emoji23]
Mpuuzi kweli kweli wewe,aaah samahani sijakutukana nimeishiwa hojaMatusi. Nakereka sana na lugha za matusi. Atukanaye siku zote ni asiyejielewa na aliyeishiwa hoja hasa wafuasi wa chadema.
Hahahaha ni watu wasiojulikanasasaa sijui ni wakina nani hao wanaokuja,