Leo tuelezee utamu wa mapenzi

Ni kama pipi tu. Mimi huwa nanunua pipi aina zote. Pipi machungwa, pipi kali, toffee n.k naweka chumbani. Nikirudi nyumbani usiku nakula pipi kwa kwenda mbele. Ni tamu sana. Nimeamua kuachana na mapenzi kwa sababu pipi ni tamu zaidi
kuna mdau anasema hata ubwabwa ni zaidi ya mapenzi
 
Wataalamu wanakwambia binadamu anapata utamu kupitia vitu vitatu, sex ni kitu kitamu zaidi,ikifuatiwa na chakula na kukata gogo ni nambari tatu ni hayo tu....
 
Wataalamu wanakwambia binadamu anapata utamu kupitia vitu vitatu, sex ni kitu kitamu zaidi,ikifuatiwa na chakula na kukata gogo ni nambari tatu ni hayo tu....

Mie kukata gogo ndio nambari one.... Yaan huwa navua nguo zooote afu nakata kwa raha zangu!!!
 
Samahan dada charminglady Angalia ukizoea sana kukata gogo unaweza kubadilisha matumizi ni ushauri tu lakin
 
Naskia wanasemaga haya maneno hata kwenye khanga yapo 😛eep:😛eep:
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…