Mhhhh "raha ya mapenzi umpate anaejua kukuenzi"
ni kitu gani kitamu kushinda vyote, je asali , muwa, fanesi, apple ama mapenzi?
huu utamu wa mapenzi ukoje hasa, unaelezekaje? ni sawa kuulinganisha utamu huu na asali,sukari ama pipi? kama wapendavyo wapenzi kuitana honey, sugar ama sweety?
ama utamu huu ni zaidi ya hapo?
is love making on bed the most excitement to human kind ever experienced elsewhere?
Mhhhh "raha ya mapenzi umpate anaejua kukuenzi"
Mapenzi ni kitu emotional sana, ndo maana ukipata mtu anaeweza kuhandle emotions zako vizuri unayaona mapenzi matamu kuliko muwa. Hizi asali, sukari, muwa ni material things which has substitues, wewe utaona asali tamu wengine tunaona sio.
Hakuna kinachozidi Chakula unachokipenda kwa utamu,hivi unaweza fananisha pilau,nyama,kachumbali pembeni halafu unashushia na pepsi baridi?
Kama mimi eti eeh?