Leo Trump amenifurahisha Sana

Leo Trump amenifurahisha Sana

2013

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2011
Posts
11,365
Reaction score
6,086
Trump katika mkakati wake wa njia fupi wa kuandaa muswada wa kupata hela za kujenga Ukuta.(State emergency).

Kama kawaida ameelezea sababu ya Democrats (The Leftists) kupinga ujenzi wa Ukuta wake Wanataka points za kushinda ifikapo 2020. Kwahiyo wanachofanya Ni obstructions.
Ameeza namna alivyopunguza economy Deficit.

Pia amegusia namna alivyoweza kuokoa mamilioni ya Uhai wa watu
Nchini Syria kwa kuepusha vita Jambo ambalo Obama administration hawakufanikiwa Bali alipelekea mauaji makubwa ya wanadamu na ugaidi ulimwenguni.

Trump amegusia jinsi Waziri Mkuu wa Japan alivyomshukuru 'whole heartedly' na anavyotamani raisi Trump Apewe Tuzo ya Amani ya Nobel. Ambapo Kuna watu alitarajia Obama angepata lakini hakufanikiwa. Akakiri kua mazuri aliyoyafanya kwa Marekani yanajieleza yenyewe. Alivyoweza kutoka kugombana na Kim Jon Un wa Northern Korea walotupiamaaneno makali mpaka baadhi ya watu walisema "Trump is crazy.!" Hadi kufikia mahali wameweza kua marafiki wazuri Sana. Ambao pengine wanastahili Tuzo ya Nobel ambayo hadhani kama watampa.
Trump amegusia kuimarisha mahusiano na Russia na mataifa mbalimbali ambapo Ni Mambo ambayo Obama alishindwa kabisa.

Trump hakusita kuonyesha wazi Kua Chombo cha CNN Ni Chombo chenye kueleza habari za uongo(Fake News) kuhusu utawala wake.
 
Thank God, USA ingelitumbukia kwenye udikiteita hata kuzidi wa Adolf hitler ingekuwa siyo kuwa na strong institutions. Angelikuwa rafiki wa bwana mkubwa kule mbinguni
 
urusi na marekani ni kama mafuta na maji hayachanganyiki haijalishi kuwepo na rais wa aina gani pale USA hakutakuja kutokea USA na Urusi wakaimarika kimahusiano,hivyo hivyo kwa North korea na Iran.
 
utofauti kati ya trump na Jiwe ni rangi tu vingine karibu vyote wanafanana.
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Ameeza namna alivyopunguza economy Deficit.

economy Deficit ndio nini?

Diaspora hawa wanatia huruma

Trump kasema leo wanaokwenda Marekani ni watu walioshindikana makwao wakatupwa huko USA

How true!
 
CIA walikuwa wafadhili wa vikundi vya ISIS under Obama, Trump alivyoingia madarakani wakavinyima misaada vikafa, yeye anaangalia kupigana vita na Venezuela au Iran matajiri wake wachote mafuta, na ndomaana ajifanya kuondoa Majeshi Syria na Afghanistan ili akajipange kwa ajili ya vita. Hiyo kutangaza Emergence Democrats wataenda Supreme court kuzuia. Jama hayofanikiwa huo ukuta anataka awapige pesa
Trump katika mkakati wake wa njia fupi wa kuandaa muswada wa kupata hela za kujenga Ukuta.(State emergency).

Kama kawaida ameelezea sababu ya Democrats (The Leftists) kupinga ujenzi wa Ukuta wake Wanataka points za kushinda ifikapo 2020. Kwahiyo wanachofanya Ni obstructions.
Ameeza namna alivyopunguza economy Deficit.

Pia amegusia namna alivyoweza kuokoa mamilioni ya Uhai wa watu
Nchini Syria kwa kuepusha vita Jambo ambalo Obama administration hawakufanikiwa Bali alipelekea mauaji makubwa ya wanadamu na ugaidi ulimwenguni.

Trump amegusia jinsi Waziri Mkuu wa Japan alivyomshukuru 'whole heartedly' na anavyotamani raisi Trump Apewe Tuzo ya Amani ya Nobel. Ambapo Kuna watu alitarajia Obama angepata lakini hakufanikiwa. Akakiri kua mazuri aliyoyafanya kwa Marekani yanajieleza yenyewe. Alivyoweza kutoka kugombana na Kim Jon Un wa Northern Korea walotupiamaaneno makali mpaka baadhi ya watu walisema "Trump is crazy.!" Hadi kufikia mahali wameweza kua marafiki wazuri Sana. Ambao pengine wanastahili Tuzo ya Nobel ambayo hadhani kama watampa.
Trump amegusia kuimarisha mahusiano na Russia na mataifa mbalimbali ambapo Ni Mambo ambayo Obama alishindwa kabisa.

Trump hakusita kuonyesha wazi Kua Chombo cha CNN Ni Chombo chenye kueleza habari za uongo(Fake News) kuhusu utawala wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
My wish ni kwamba hapa Tanzania mashuleni na vyuoni watu wangekuwa wanajifunza critical thinking kidogo. Lakini wanafunzwa kujibu mitihani tu. Hata kuhoji mambo watu hawawezi kabisa. Wakiaminishwa jambo basi inakuwa dini kwao.
Swali dogo, kwa mfano, je kweli kuna dharura huko mpakani na Mexico? Swali hili linaweza kumpelekea mtu kutafuta habari zaidi. Na hapa itagundulika mara moja kwamba hakuna dharura. Na pia huyo anayeshabikiwa hivyo Trump kisha kutangaza hali ya hatari akaenda kucheza golfu huko mbali Florida. Ati hataki vita! Maraisi wote wa Marekani wapenda vita kabisa. Soma hata historia ya hivi karibuni tu.
 
Jamaa ana chuki na weusi, na inamuuma mpaka kifo chake kwa Obama kuwa rais.
Hiyo Nobel price ataisikia kama anavyoisikia sasa. Kujisifia kila kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom