Bibi harusi umeolewa na Bwana Yesu ni kweli?Yesu ni zaidi ya psychiatrists. Psychiatrists wanakufa na kuoza. Yesu alikufa akafufuka. Yuko hai hata leo. Anaendelea kutenda miujiza kwa kila aaminiye.
Wanapiga route maeneo hayo subiri wakuonyeshe showWaliishasagwa sagwa kwa Jina la Yesu.
Namimi nimeweka mkono kwenye suruali nikasema Yesu jaza mapesa nashangaa hajafanya miujiza ya kujaza mapesa.Nikaweka mkono sehemu hiyo na kuikemea hali hiyo kwa Jina la Yesu.
Kwamba ww hapa ni nyumbani na melo asemeje ww huna bwana ndo maana unahangaika tu humu jamvini hapo ukute ushatoa mimba kma 10 🤣🤣Msahau kwao ni mtumwa. Wewe ukienda nyumbani kwenu kisha ukawaaga, huwa hurudi tena?
Arusi bado. Nasubiri arusi. Nilitoa hapa mwaliko wa arusi. Kama wakati huo ulikuwa bado hujajiunga na JF, hujachelewa. Mwaliko bado hauja-expire. Karibu sana kwenye arusi.Bibi harusi umeolewa na Bwana Yesu ni kweli?
Harusi mkuu sio arusi minyoo hao wanasumbuaArusi bado. Nasubiri arusi. Nilitoa hapa mwaliko wa arusi. Kama wakati huo ulikuwa bado hujajiunga na JF, hujachelewa. Mwaliko bado hauja-expire. Karibu sana kwenye arusi.
![]()
MWALIKO: Karibuni wote kwenye harusi kubwa na ya kifahari kuliko zote!
Ndugu wapendwa wote wa JF, Ninayo furaha tele kuwaalika kwenye sherehe ya harusi itakayokuwa kubwa sana kuliko zote zilizowahi kufanyika duniani! Ni wedding banquet la nguvu. Mnaopenda nyama choma, pilau, kuku, chips mayai, uyoga, karanga, kisamvu, mlenda, juice - mtakunywa na kula vyakula...www.jamiiforums.com
My situation is very complicated...it's hard to explain I wonder if Your Jesus is aware of it....Hell on earth!!Tafadhali fafanua vizuri situation yako. Sijaelewa unaposema huhitajiki kuzimu na mbinguni??!!
Aisee. Kumbe ni tangazo 🙂Tangazo limekaa kimkakati sana hili..usijali watajaa huko inbox
Sio wewe tu.Why always you ...Yesu mbona mm hanioni??
Ameen. Umejionea hayo maishani mwako pia?Marko 16:17-18
[17]Na ishara hizi zitafuatana na hao waaminio; kwa jina langu watatoa pepo; watasema kwa lugha mpya;
[18]watashika nyoka; hata wakinywa kitu cha kufisha, hakitawadhuru kabisa; wataweka mikono yao juu ya wagonjwa, nao watapata afya.
Mungu ni dhahiri kuliko nyumbaAmeen. Umejionea hayo maishani mwako pia?
Ubarikiwe sana mpendwa kwa kutambua hilo.Mungu ni dhahiri kuliko nyumba