AmenWe Mbaga Jr acha ku-copy na ku-paste huo msemo. Habari hiyo Inasikitisha? Sema: INAFURAHISHA SANA YESU ANATENDA MIUJIZA HADI LEO🙂😀

AmenKwa zaidi ya wiki moja nimekuwa nikihisi kana kwamba kuna mdudu anatambaa tambaa kwenye bega langu la kushoto. Nikipapasa sehemu hiyo sioni kitu. Leo nikasema "enough is enough"(yatosha sasa). Nikaweka mkono sehemu hiyo na kuikemea hali hiyo kwa Jina la Yesu. Hivi sasa hali ya mdudu kutambaa tambaa imetoweka kabisa katika eneo hilo! Hakika Yesu hajabadilika. Miujiza aliyoitenda miaka 2000+ iliyopita bado anaitenda hata leo kwa kila aaminiye.
Kisayansi, wenye dalili kama hizo, huambiwa kwamba wana "paresthesia." Wanapoenda hospitali, madaktari huwauliza maswali mengi ili kujua chanzo cha hali hiyo na kupima nguvu za misuli (muscle strength), kupima hisia (sensation testing), au kufanya Nerve Conduction Study (NCS) kwa kutumia vifaa kama Electromyography (EMG), MRI (Magnetic Resonance Imaging), au CT Scan na Ultrasound (USG). Baada ya hapo, wagonjwa hufanyiwa fisiotherapi, au kupewa dawa za kupunguza mgandamizo wa mishipa, au wakati mwingine kufanyiwa upasuaji.
Namshukuru Mungu nimepona bure kwa Jina la Yesu, bila kuingia gharama ya kulipia vipimo hivyo na madawa!
Miujiza kama hii ni vigumu kuiona maishani mwako kama huamini kuwa Yesu ni Mungu, Mtenda miujiza.
Hivyo vilivyo orodheshwa hapo sasa.huku kwetu mwamalole hatujaambulia hata kimoja.labda kungekuwepo na Yes no angalau huwa tunavisikia kilabuni.hongeraMungu ni mwema kila wakati.
Because the efficacy of divine intervention is neither arbitrary nor coincidental; it is the outworking of unwavering faith in Christ, whose power transcends circumstance and whose grace is impartial yet personal to all who believe.Why this works for you and for me, why?
Daah hapo kipengeleOoh jamani D-RICH
It’s not always me; God is faithful to all His children, and your testimony is on the way.
Mungu ni mwaminifu na ameahidi uponyaji kwa wote wamwaminio. Hata hivyo, kuna mambo muhimu ambayo mtu anapaswa kuyafanya ili apokee uponyaji. Nakutajia baadhi ya mambo hayo: Kwanza kabisa hakikisha umeokoka. Jiulize: Je, ulitubu dhambi na kuziacha? (Yakobo 5:16). Je, Yesu ni Bwana na Mwokozi wako? Kama unatambua wazi kuwa wewe ni mtoto wa Mungu, hatua inayofuata ni kuomba na kukemea. Yesu alisema tukiomba lolote tutapewa. na tena kila aliyeokoka amepewa mamlaka ya kukemea magonjwa na udhaifu wa kila aina.
Ukiishaomba na kukemea, uwe na imani isiyotetereka (Marko 11:24) – amini kwamba umepokea uponyaji hata kabla hujaona matokeo. Ukiona dalili zinaendelea, usiogope. Endelea kuamini tu. Mashaka huweza kuzuia miujiza (Yakobo 1:6-7). Kumbuka Petro alipoona upepo, aliogopa, akaingiwa na mashaka na kuanza kuzama.
Kiri/zitamke kwa imani ahadi za Mungu za uponyaji kila siku (Methali 4:20-22).
Haya hapa ni baadhi ya Maandiko yenye ahadi za uponyaji
Marko 9:23 – “Yote yanawezekana kwake aaminiye.”
1 Petro 2:24 – “Kwa kupigwa kwake tuliponywa.”
Zab 118:17 – "Sitakufa bali nitaishi, Nami nitayasimulia matendo ya BWANA."
Yeremia 30:17 – “Maana nitakurudishia afya, nami nitakuponya jeraha zako, asema Bwana.”
Wasamehe waliokukosea (Marko 11:25) – moyo usiosamehe unaweza kufunga mlango wa neema (Mathayo 6:15)
Weka tumaini lako kwa Mungu pekee, si kwa watu au njia za kibinadamu (Yeremia 17:7-8).
Hayo ni baadhi ya mambo muhimu ya kuzingatia ili uone miujiza ya uponyaji.
Yesu anakuona, anakujua kwa jina na anapenda kukuponya. Hana upendeleo, anaponya wagonjwa wote (Mathayo 8:16-17)
Kwahiyo, kama umeokoka, usikate tamaa; endelea kushikilia imani yako. Moyo wako uwe thabiti, siku yako ya kushuhudia muujiza itakuja, na wewe utaimba: ‘Yesu ameniona na mimi na kuniponya.’
Hapo kipengele sana as niko Ktk situation ambayo sihitajiki kuzimu na mbinguni pia.Ooh jamani D-RICH

Wametulia hao minyoo kwa muda tu subiri wakianza kupiga kazi kwenye UbongoNamshukuru Mungu nimepona bure kwa Jina la Yesu, bila kuingia gharama ya kulipia vipimo hivyo na madawa!
Miujiza kama hii ni vigumu kuiona maishani mwako kama huamini kuwa Yesu ni Mungu, Mtenda miujiza.
Jina la Yesu lina nguvu kubwa sana ndugu. Yesu akiponya, anaponya complete. Sio kama waganga wa kinyeji wanaotuliza tu mashetani halafu baadaye yanaamka tena.Wametulia hao minyoo kwa muda tu subiri wakianza kupiga kazi kwenye Ubongo
Una ugonjwa wa akili psychiatrist yoyote ange kutibu sio mythical person who is supposed to have lived two thousand years agoKwa zaidi ya wiki moja nimekuwa nikihisi kana kwamba kuna mdudu anatambaa tambaa kwenye bega langu la kushoto. Nikipapasa sehemu hiyo sioni kitu. Leo nikasema "enough is enough"(yatosha sasa). Nikaweka mkono sehemu hiyo na kuikemea hali hiyo kwa Jina la Yesu. Hivi sasa hali ya mdudu kutambaa tambaa imetoweka kabisa katika eneo hilo! Hakika Yesu hajabadilika. Miujiza aliyoitenda miaka 2000+ iliyopita bado anaitenda hata leo kwa kila aaminiye.
Kisayansi, wenye dalili kama hizo, huambiwa kwamba wana "paresthesia." Wanapoenda hospitali, madaktari huwauliza maswali mengi ili kujua chanzo cha hali hiyo na kupima nguvu za misuli (muscle strength), kupima hisia (sensation testing), au kufanya Nerve Conduction Study (NCS) kwa kutumia vifaa kama Electromyography (EMG), MRI (Magnetic Resonance Imaging), au CT Scan na Ultrasound (USG). Baada ya hapo, wagonjwa hufanyiwa fisiotherapi, au kupewa dawa za kupunguza mgandamizo wa mishipa, au wakati mwingine kufanyiwa upasuaji.
Namshukuru Mungu nimepona bure kwa Jina la Yesu, bila kuingia gharama ya kulipia vipimo hivyo na madawa!
Miujiza kama hii ni vigumu kuiona maishani mwako kama huamini kuwa Yesu ni Mungu, Mtenda miujiza.
Wameshaingia kwenye Ubongo au bado?Jina la Yesu lina nguvu kubwa sana ndugu. Yesu akiponya, anaponya complete. Sio kama waganga wa kinyeji wanaotuliza tu mashetani halafu baadaye yanaamka tena.
By the way, Yesu ni Mungu, ndiye aliyeumba ubongo. Aliyeumba ubongo anashindwa kuwatoa minyoo wakiingia kwenye ubongo?
Yesu ni zaidi ya psychiatrists. Psychiatrists wanakufa na kuoza. Yesu alikufa akafufuka. Yuko hai hata leo. Anaendelea kutenda miujiza kwa kila aaminiye.Una ugonjwa wa akili psychiatrist yoyote ange kutibu sio mythical person who is supposed to have lived two thousand years ago
Ila mumeo anakufaidi sana, waaaao!Msahau kwao ni mtumwa. Wewe ukienda nyumbani kwenu kisha ukawaaga, huwa hurudi tena?