Leo Oktoba 07 ni siku ya kuzaliwa kwa Mhe. Rais Kikwete, chukua fursa hii kumwambia lolote

SOURCE? Anyway--whatever the source of information. Happy birthday handsome!

And then, on this very special day to you, this Highlander wants you to Know many of us Tanzanians love you very much--because you are one of us; and that when we say bad things about you, we do it NOT out of hate, but out of love of our nation. We want you to run this country as we want it run!

Happy Birthday JK

True buddy,happy bday Mr.President (POTURT)
 
Raisi wangu mpendwa nakutakia kila laheri katika siku hii ya leo.i wishing you a long life but short life in your administration

kikwete ataendelea kuongoza kama kawaida bila kokoro yoyote hadi 015 atakapomkabidhi kijiti kada mwingine wa chama chake aiongoze nchi kwa kipindi kingine cha miaka kumi.wapinzani waendelee kujifunza siasa kwanza , tukiona wanaanza kukomaa tutawajaribu na umeya wa jiji la mwanza tuone kama wameanza kuiva
 
Siku yaleo umekua kachanga ndugu jk,unaonaje ukitoa hako kamkono kako kwenye kes ya kamanda lema a.k.a jembe la tz?na unaonaje ukilifungulia gazeti letu pendwa la mwana halis?na kwanini usiwaache wa tz wakatafuta katiba yao wenyewe?ruhusu watu walio na miaka 18 na19 wajiandikishe kupiga kura maana naamini nihaki yao yamsing.mwisho ukitaka kifo chako kiwe cha mungu usimtendee mwenzio yale usiyo yapenda mrudie mungu wako maana huwez ish miaka 200 haya maisha tunapita tu amiii
 
Hongera kwa kutimiza hiyo miaka uliyonayo mheshmiwa sana rais wa nchi hii
 
happy birthday JK
uishi maisha marefu ushuhudie membe na lowassa watakavokipasua chama
nakusihi ufanye haraka kutupa katiba mpya yenye tume huru ya uchaguzi
pasco uliowataja hakuna anaefaa kuwa prezdaa wote wamejaa kashfa lukuki
Happy birthday baba rz1!. Long live uishuhudie ukombozi wa pili wa kweli wa mtanzania 2015 kupitia ama kwa mshirika wako el au kijana wako membe!..
 
ndio mana tunasema kazi yake kubwa ni kupora wake za watu,mambo ya uongozi wa nchi amwachie kikwete na ccm.hata wewe mkeo atamegwa tu na babu we endelea kujishebedua hapo

jiulize kwann aporwe wakat ana mme wake? wahudumien wake zenu unafikiri huduma ni malaz mavaz na gari kwa mwanamke anapenda mtu anae weza kwenye6x6.
 
Hellow Mr President, shkamoo!

Ni mara chache tunapata nafasi ya kutakiana heri kwa utaratibu huu kwa hiyo sina budi kuutumia ipaswavyo.

Kwanza nikupe pole kwa majukumu, mengi yanayokukabili, kwanza kama kiongozi wa familia,kisha kiongozi wa chama na juu kabisa, kiongozi wa nchi yetu. Maana hata kama utakuwa huyatimizi majukumu haya ipaswavyo,kama inayosemwa na wengi mimi nikiwa mmoja wapo, lakini lile wazo tu kuwa kuna vitu haviendi sawa, ni presha tosha kabisa kukuchosha au kukukosesha raha. Naelewa sio kazi rahisi hata kidogo.

Naelewa changamoto unazopata ni nyingi, tena nyingi sana,ambazo binafsi sidhani kama uliwaza kuwa inaweza kuwa hivi wakati unaingia.
Najua kuna mengi ambayo utakuwa umejifunza katika miaka uliyokaa ikulu,ambayo kama pangekuwa na uwezo wa kurudisha muda nyuma, ili tuanze upya kabisa, lakini tukiwa na kumbukumbu zetu pekee, basi ungeingia ama kwa staili tofauti na uliyoitumia awali au pengine usingetamani kuwa raisi, ama basi usingechaguliwa kabisa kuwa raisi ! Bahati mbaya, hatuwezi kurudisha muda nyuma hivyo walau sisi wengine tunapata nafasi ya kujifunza kutoka kwako, maana walisema na ninanukuu, "mtu hawezi kuishi miaka mingi kiasi cha kujifunza kwa makosa yake mwenyewe." Hivyo ni muhimu kujifunza kwa makosa/mapungufu ya wengine.

Najua naweza kuwa wa kwanza kukulaumu kwa yale ninayoona umeyatenda kinyume ila pengine, (labda) hata mimi katika wakati na nafasi kama yako ningetenda vivo hivyo, hiyo ni kwa sababu sijui kinachofanya utende kinyume pale ilipotokea kuwa hivyo. Lakini kwa ubinadamu wetu lazima nikulaumu, labda ili kukukumbusha au pengine ili kuonesha kutokubaliana kwangu, kwa kuwa naelewa kabisa lawama zangu ni nadra kukufikia!

Wakati mwingine huwa najilazimisha kuamini kuwa una nia ya dhati ya kutuletea maendeleo kwa kubadili mfumo tulionao sema kuna 'kitu' au 'watu' wanakukwamisha. Nakumbuka hata jibu lako pale ulipoulizwa sababu ya umaskini wetu,maana jibu lile lilionesha kuwa unafurukuta lakini huoni tukisogea, ulijibu HUJUI!
Kuna katuni moja huwa inaoneshwa kwenye runinga ndege inachukua kontena za dhahabu na kutuachia mashimo na umaskini mkubwa. Nionapo katuni hii huwa naumia sana, na hapa sina mamlaka ya kufanya lolote, je wewe Mheshimiwa?! Najua litakuwa linakuumiza zaidi, inawezekana, kwa kuwa unajua unayo mamlaka ila huna jinsi ya kubadili hali ilivyo labda!

Na ndio maana ninakutakia heri katika sikukuu yako ya kuzaliwa nikikuombea umalize salama nngwe yako hii, walau kupisha wengine,tukiamini watatuletea mfumo mpya kabisa na labda tutaona mwangaza na matumaini mapya mbele yetu.

Nakuombea baraka za Mungu, na afya njema.
Nakuombea busara na Ujasiri zaidi.

Happy Birthday Mr. President.
 
Nakutakia afya njema na baraka kutoka kwa Mungu,ila kwa kuzaliwa kwako leo kumbuka kuwa unemployment z a great bomb
 
Happy Birthday JK.

Nakutakia maisha marefu uje ushuhudie maguzi makubwa katika nnchi yetu, hasa uongozi wa nchi, raslimali zake na maendeleo kwa ujumla.

Katika siku hii muhimu kwako, naomba umkumbushe mwanao Riz1, sio kila mtoto wa mwanariadha ana mbio...!!
 
Happy Birthday Dr.. hakika weye ni kiongozi jemedari na ni mvumilivu sana ! umevumilia mengi kejeli , matusi lakini hujali na kufanya kazi watanzania waliyokutuma hongera kwa hilo .... May Allah Bless You & Give You A Long Life...And Also Success in Your Life...

Ameen
 
Happy birthday dear mr president. Nakutakia afya chema na siku nyingi. Pia nakushauri punguza safari zako za nje ili upate mda wa kuwatumikia wananchi na tuepushe na hili janga la kidini lililovamia watanzania.
.
 
MKUU PASCO,S i vyema kumuombea mwenzako kifo, I agree, lakini ni wangapi waliokufa either kwa maagizo yao kwa udhaifu wao wa kushindwa kuwajibishana kwa manufaa ya UMMA?
Ni kweli nakubaliana na wewe! cha msingi adui yako mwombee njaa kuliko kifo. Rais wangu JK nakuombea maisha marefu ili uone mabadiliko ya nchi hii yatakavyo kuja baada ya 2015. Naomba hata kipande cha keki.......
 
mimi namtakia maisha marefu rais wangu na kumshukuru kwa kuwa chaguo la mungu kutusaidia kuifurusha ccm madarakani 2015
 
ndio mana tunasema kazi yake kubwa ni kupora wake za watu,mambo ya uongozi wa nchi amwachie kikwete na ccm.hata wewe mkeo atamegwa tu na babu we endelea kujishebedua hapo
mohamedi t mbona mdomo wako eumekuwa mchafu hivyo utadhani si mtoto wa binadamu?
 
Back
Top Bottom