VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,135
- 17,802
Nimetumwa na chama-CCM na Serikali. 'Kudeal' na mihela ya Wazito ile ya Zitto.Nitakosekana humu kwa majuma kadhaa. Tuombeane. Mkimuona Cacico,mwambieni nakumbuka maagizo yake. Mbaki salama!
Mzee Tupatupa ol the best babito! uende na urudi salama, nazisubiria zawadi zangu nilizokuagiza urudipo! nakuombea kila la kheri uwe unatu-update uwezapo! MUNGU WETU MWEMA AKULINDE, amen!Nimetumwa na chama-CCM na Serikali. 'Kudeal' na mihela ya Wazito ile ya Zitto.Nitakosekana humu kwa majuma kadhaa. Tuombeane. Mkimuona Cacico,mwambieni nakumbuka maagizo yake. Mbaki salama!
Nimetumwa na chama-CCM na Serikali. 'Kudeal' na mihela ya Wazito ile ya Zitto.Nitakosekana humu kwa majuma kadhaa. Tuombeane. Mkimuona Cacico,mwambieni nakumbuka maagizo yake. Mbaki salama!