Leo nina hamuuuu

umenitupa sana kiongozi..au bia za R'chuga zina sukari nyingi kuliko za dar ndo maana unabobea huko?? kitu ndovu bariid!
Hahahaaa anders batta nipo kaka sema nilibanwa sana aisee
Kuanzia wiki ijayo niko free na naweza ibuka jijini so usijali
Ndofu ya huku tamu balaa lol
 
Last edited by a moderator:
hata mimi nina hamu kweli ya mdudu choma.....tukutane jioni nini tukambonyeze......?

Tatizo wewe uko A-town mtu wangu. Nikutumie nauli uje Dar nini?!
 
Nyie bana mbona hamuelewi? Kisha sema yeye ni HE kwahiyo anaweza kuwa na hamu na demu au.....

Dah kijana kalaaniwa. Handsome namna hii, anaachia jicho?! Wala simtaki
 
Mwenzio ana ham ya tendo la ndoa ,inazaweds he is on heat na anahaha.

Of ol people u r a genius! Na kumbe hata men tunakuaga na heat kama kina nanihii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…