Actually mi nimepewa na ofisi na ni mbadala wa fuel allowance tuliyokua tunapewa cash. Mwanzoni nilikua nikipewa cash nakua naweka mafuta kidogokidogo ila baada ya kuletewa card ni mwendo wa full tank na nafurahia maisha kuliko mwanzoni japo mtu unaweza ongea na mtu wa kituo cha mafuta akakutolea ukachkua cash badala ya mafuta ukamkatia kidogo. Ni card nzuri maana unaunganishwa kwa simu pia unakua unapata SMS alerts kila unapoongezewa salio au kila unapochukua mafuta. Ni salama sana pia maana hata ukiidondosha mtu hawezi itumia coz inahitaji password kama ATM card na inamicrocomputer chip mtu hawezi ku-temper nayo
Hahaha acha tu mkuu watu tumetoka mbali ila ndo hivo tena kila mtu humu Jf Utasikia ooh tulivokua wadogo tulikua tukisia honi ya gari ya dingi wote tunaenda kulala, hahah! wengine tulikua tukisikia honi ya baskeli ya dingi aina ya swala wote ni kulala, hahah