Leo nimeweka full tank

Leo nimeweka full tank

Hahahahaha lol! Hongera sana Mkuu.
Ahsante SANA mkuu.as from today nimeamua ntakuwa najaza full tank tuu.maana nime realize sina sababu ya kutofanya hivyo ukizingatia sijawahi acha kuweka mafuta kwenye gari yangu.sasa .so why fill a litle while at the end of the day will have filled full tank????
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Yeah! Very good decision, will help you to reduce trips to petrol stations around the city.

Ahsante SANA mkuu.as from today nimeamua ntakuwa najaza full tank tuu.maana nime realize sina sababu ya kutofanya hivyo ukizingatia sijawahi acha kuweka mafuta kwenye gari yangu.sasa .so why fill a litle while at the end of the day will have filled full tank????
 
Hongera mkuu, technically ukiweka full tank unatumia hela kidogo kuliko ukiweka kidogokidogo.. Na mafuta kwenye gari hayaliwi kwa wingi kama ukiweka kidogokidogo.. Big up
 
Wakuu kwa Mara ya kwanza ndani ya miaka Sita Leo nimefanikiwa kujaza full tank kwenye noah yangu for only 88.000.IT FEELS SO NICE.TRY IT.Ahsanteni EWURA

Naungana na wewe mkuu........kiasi cha pesa nilichokuwa najaza mimi........kimeongezeka lita tatu juu........EWURA hoiyeeeeee.........
 
Nipo UBUNGO mataa hapa, kuna movie kali sana, daah huyu askari ana roho ngumu!
CCM wana dhambi sana!
 
Miaka sita yote unamiliki gari hiyo hiyo tu. Badilisha gari litakufia. Utaanza kuingia gharama za matengenezo utaisahau hiyo full tank.
 
Jana niliweka ya buku tano, jioni hii nimeweka ya buku teni. Lyf goes on.
 
Back
Top Bottom