Leo nimetoa ushamba...!!!

Leo nimetoa ushamba...!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
Daaah wakuu, leo nliingia pale V-Mart viva towers maeneo ya posta nika mini market flani hivi. Hee, nikakuta kuni zinauzwa mle ndani? I had to take a snap kwa kweli
pu7e8yze.jpg


Sent from my Citycall i930+ using Tapatalk 2
 
kama huoni kuni tafuta koni............unganeni kwa ushamba
 
Mbona sio kuni?

ndio hizo unazoziona mkuu zipo kwenye somekind of a refrigerator. i was devastated kwa kweli af cjui za miti gani. but i guess ni kwaajili ya zile crib zenye fireplace kwa ndani, nshawahi kuona kwenye nyumba moja pale Chole st.
 
Back
Top Bottom