Nimebadili ID mara sita sasa ila ningekuwa mkongwe sana ikiwa ningebaki na ID ya mwanzo .
Nimezikumbuka zile nyakati ambazo kukomenti hapa jamvini ilikuwa ni lazima utafakari ni nini unataka kuandika ,je una uhakika?
Kipindi ambacho usingeweza kumbeza yeyote kwa mchango wake ,kipindi ambacho kujibizana kwa hoja na wale walioko kwenye mfumo wa serikali ilikuwa ni kawaida sana.
Kipindi ambacho haka kamtandao kaliitwa Jamboforum hakika hapa palifana sana
All in all ya kale ni dhahabu , but hongera sana ndugu
Elli