Leo nimetembelea jimbo la Ukonga, ni kama hakuna Mbunge

falcon mombasa

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
9,159
9,241
Wakuu habari.

Baada ya kutembelea Jimbo la Juma Nkamia na kujionea hali mbaya kabisa ya miundo mbinu huku umaskin ukiwagubika haikuwa kikwazo kwa Juma Nkamia kutaka rais aongezewe muda huku wananchi wake wengi wakiwa wamejikatia tamaa ya kuishi na hawana namna ya kumtoa Juma Nkamia kutokana na mfumo kandamizi.

Leo nimetembelea jimboni Ukonga mbunge wake ndie yule anaetamba kupambana na Mh Mbowe kuwa yeye ni boss wa Mbowe

Wananchi wa Jimbo la Ukonga linaloongozwa na Mbunge Waitara liko kwenye hali ya kupumulia mashine kimiundo.mbinu

Wazee wa Jimbo hili wamempachika jina la ziada mbunge wao wanamwita "pye pye pye" kutokana na kupenda kuongea haraka haraka.

Jamii kubwa ya wakazi wa Jimbo hili la Ukonga ni watu wenye asili ya Kanda ya ziwa haswa mkoa wa Mara.

Je Chama Cha Mapinduzi hakioni haja sasa ya kuwaondoa wabunge mizigo kwenye majimbo kwakuwa wananchi wa kawaida hawana uwezo kuwaondoa manguli hawa wanaotumia ulaghai wa kila namna ili waendelee kubaki madarakani?

Katikati ya mazungumzo yangu na wazee wa ukonga nikajaribu kuchomekea kwamba vipi kama mh Makonda akija kugombea hapa kwa pamoja wakasema eeeh huyo huyo uliyemtaja sijui nani lakini huyu hatumtaki.

Wakamtaja marehemu Chacha aliyefariki wiki mbili zilizopita kuwa ndie anapenda kumfuata fuata Waitara kwakuwa ananunuliwa pombe.

Hapa nikanotice kuwa mh Mbunge yeye ni bingwa kununulia watu pombe na kujisifia kuwa pombe zile kanunua yeye.

Jimbo la Chemba anakotokea Juma Nkamia aliyetaka Rais Magufuli.

IMG_20200119_144349.jpeg
IMG_20200119_141542.jpeg
IMG_20200119_135704.jpeg
IMG_20200119_141538.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo jimbo hovyo kimiundombinu kuliko yote ya dar,waitara anajua hawezi kurudi tena jimbo hilo thus kalitelekeza analitaka la tarime wakurya wamemwambia tarime sio dar umesahau nini muraa?Hakufanya vyema kulitelekeza mbali na ubunge ni mkazi Wa kudumu Wa ukonga angetumia nafasi aliyopewa kuliboresha hata akikatwa lkn amelitendea vyema jimbo
 
Back
Top Bottom