Yaani balaa. Hawa wa huku kwetu kichwani ni miwigu na wengine matako ya china halafu wana nyodo utafikiri original kama hao wahabeshi. Nauli ikikamilika nitakuwa huko Agosti
Mkuu tunaweza kua tunashare interest maana mimi pia situmii kilevi chochote hata soda sinywi zaidi ya maji. Hicho ndio kilevi changu mkuu.Mkuu nisubiri huko huko,wanaanzia shilingi ngapi? Mkuu sitanii mwenzio hayo mambo ndo pombe yangu kwani situmii tungi lolote isipokuwa. Nipitie wapi shortcut hadi Adi's Ababa?
Mkuu nisubiri huko huko,wanaanzia shilingi ngapi? Mkuu sitanii mwenzio hayo mambo ndo pombe yangu kwani situmii tungi lolote isipokuwa. Nipitie wapi shortcut hadi Adi's Ababa?
Mkuu unadhani nauli peke yake itatosha? Kwenye hicho kibubu cha Nauli ulichoanzisha Lazima uwe nakianzio huko uendako Maana cdhani huko kuna kuimbishana kibongo! Siuna jua hata makao makuu ya AU yakokule so jipange kiongoz
Mkuu tunaweza kua tunashare interest maana mimi pia situmii kilevi chochote hata soda sinywi zaidi ya maji. Hicho ndio kilevi changu mkuu.
Kma utaamua kwenda basi twende wte sabb nami nataka kwenda kutalii nauli ninayo kwenye akiba zangu🙁:thumbup:
Uko sahihi
Nishawahi pita huko japo ckupata wasaa wa kutembea kivile, bt I adimit hao wadada WA huko ni habari nyingine!
Kiukweli ni warembo.
Tutaenda mkuu tujipange. Kuna huyo rafki yangu ni mmisionari alipokua huku nilikua namsaidia kutafta watoto wakali wa mjini, akaniahidi kulipa fadhila nikienda kwao huko. Kila mara ananisisitiza niende kumtembelea nikawaone watoto wazuri wa huko.
Kwa mwendo huu ntajitahidi niende nikae hata wiki mbili tu niongeze umri maana huwa wanasema visit Eithiopia and become 7 years younger. Nani asietaka kuwa kijana muda wote, nani asietaka watoto wazuri.

waendaji wa kona bar wanajulikana tu

Watu mnamambo sana sasa huyo ndg umisionary wake nikatika ishu gani maana daah
Hao wanatofauti gani na huyu
afrikast = Half castenimekuja kwa wifi yako,huku kila demu namuona afrikast,dada zetu wa bongo punguzeni urembo bandia,natural "rocks"
Mkuu tunaweza kua tunashare interest maana mimi pia situmii kilevi chochote hata soda sinywi zaidi ya maji. Hicho ndio kilevi changu mkuu.
Pia umesema unapenda watoto warefu, huo ndio ugonjwa wangu mkuu, mwanamke mrefu ananimaliza nguvu. Mimi mwenyewe nasimama 6.2ft. Bongo kwa kweli tuna uhaba wa watoto warefu.
Wakuu nipo Addis Ababa, hapa nimekuja kumtembelea shemeji/wifi yenu, walahi nawaambia sikutegemea wala sikufikiria kukuta maendeleo kama haya.
Jiji limejipanga hata flyovers za kueleweka, halafu kuna hizi treni sijui za umeme manake nashindwa hata niwaelezeje, wenzetu National Housing zao zipo za watu wa hali ya chini pia.
Jamani Addis Ababa ni shughuli nyingine.
Jiji safi sana, aise hivi Tanzania imekosa nini hadi kila kitu kishindikane?
Picha zinakuja soon.
pitia nairobi
Hahahhaha mkuu usisahau upate msosi wao maarufwa injera na watt aisee huwa mikate yao na mchuzi mzitto ni hatar sana.