annabrenda
JF-Expert Member
- Apr 25, 2013
- 1,142
- 399
falcon mombasa kuja huku sikia hii...Usiache kutembelea ubalozi wetu pale Bole.Kila Ijumaa jioni na weekends utapata nyama choma na ugali.
Utaachana na njara za kihabeshi.
Ila kuwa makini na tumia condomu.Ukimzalisha mhabeshi tutakusahau.
Fine mwanzoni ilikuwa usd 50,000 juzi nilipokuwa huko walinambia imekuwa usd70,000.
Kwa wasiojua ni kuwa bila kulipa fine hiyo hapo juu hawakuruhusu kuondoka nchini mwao.
falcon mombasa kuja huku sikia hii...
annabrenda nimepata hiyo maneno lakin mi nimekuja kwa wifi yako,usiku wa leo ulikuwa wa aina yake kwakweli
Tupia picha ya wifi tafadhali ili niweze kumsaminisha
nilipost picha za kumwaga za last night nikiwa club naona thread imefutwa,labda nikutumie inbox kama itawezekana
Mkuu huko inaonekana ni hatari sana eee, cheki mtoto alivyo laini utafikiri anaoga maziwa. Hao huwa nasikia wana masalia ya kiyahudi.
Mkuu umesema hiyo unywele ni hai ssio marehemu kama za hawa wa bongo? Sasa ntafikiria kwenda kumtembelea rafiki yangu wa huko mmisionari maana mara nyingi huwa anaiomba nikipata muda nikamsalimie.
falcon mombasa kuja huku sikia hii...
Wakuu nipo Addis Ababa, hapa nimekuja kumtembelea shemeji/wifi yenu, walahi nawaambia sikutegemea wala sikufikiria kukuta maendeleo kama haya.
Jiji limejipanga hata flyovers za kueleweka, halafu kuna hizi treni sijui za umeme manake nashindwa hata niwaelezeje, wenzetu National Housing zao zipo za watu wa hali ya chini pia.
Jamani Addis Ababa ni shughuli nyingine.
Jiji safi sana, aise hivi Tanzania imekosa nini hadi kila kitu kishindikane?
Picha zinakuja soon.
Mkuu huko inaonekana ni hatari sana eee, cheki mtoto alivyo laini utafikiri anaoga maziwa. Hao huwa nasikia wana masalia ya kiyahudi.
Mkuu umesema hiyo unywele ni hai ssio marehemu kama za hawa wa bongo? Sasa ntafikiria kwenda kumtembelea rafiki yangu wa huko mmisionari maana mara nyingi huwa anaiomba nikipata muda nikamsalimie.
Hapa afrikast wakumwaga,mashombeshombe tuu,sijui Mungu kawaumbaje,wazungu si wazungu,waarabu si waarabu,waafrika si waafrika,halafu hawana matiti makubwa kama dada zetu wa tz.
Mkuu nisubiri huko huko,wanaanzia shilingi ngapi? Mkuu sitanii mwenzio hayo mambo ndo pombe yangu kwani situmii tungi lolote isipokuwa. Nipitie wapi shortcut hadi Adi's Ababa?
Mkuu labda uniambie upo maeneo gani ya Addis, maana huo mji ni shida sana. Safari moja nilifika usiku nikapelekwa kwenye five star hotel, palikua maridadi sana, nikasifia sana huo mji. Asubuhi nilipoamka, mbona yale niliyokua nayasema jana yote niliyafuta. Maana City centre ukichungulia chini unakutana na vibanda vya mbavu za mbwa. Yaani hicho kitu kilinistaajabisha sana. Wewe tembea tembea tu huko mitaani utakuja na majibu hapa
.....
....seboooo !!!
siweiz kuitetea addis ababa kwa sababu sio nchi yangu lakini penye ukweli ni lazima tuwasifie,labda nikuulize we ulikuja mwaka gani? manake unayoyasema na niliyoyakuta ni tofauti
Mkuu yote hiyo nikatika kuhamasisha utalii Kwa style hiyo unadhani wizi utaisha VP Tanganyika