Ungemkanyaga kwa makusudi mguuni uone kama ataweza kusema "umenikanyaga" kwa kiingereza ππLeo bwana nilikwenda supermarket moja hivi,nilipongia nikakuta kuna kifoleni kidogo,kwani mbele kulikuwa na mteja ambae anaongea english kiswahili hajui ilikuwa ni wakati wakulipia,na muuzaji nae kiingereza hajui,niliumia sana kwani yule mteja mimi namjua ni dada wa kimakonde na kaolewa na mzungu,anajua kiswahili vizuri tu nahisi kushinda kiingereza chenyewe,,nilikaa nikasema why anafanya hivi lakini,huyu dada nilishawahi hata kucheza nae pool table ni mswahili kabisa na ni mmakonde kwa wazazi wake mikoroshoni,kasoma msasani primary school
Sasa kakosea wapi, unajua wengi mlio soma enzi za Nyerere mnaona kuongea kiswahili ni lazima hata kama hutaki.......njoo ofisini kwangu if you can't answer in Engilish just quit, wakati mimi ni msahili kabisa. Kila lugha inawakati wake.Leo bwana nilikwenda supermarket moja hivi,nilipongia nikakuta kuna kifoleni kidogo,kwani mbele kulikuwa na mteja ambae anaongea english kiswahili hajui ilikuwa ni wakati wakulipia,na muuzaji nae kiingereza hajui,niliumia sana kwani yule mteja mimi namjua ni dada wa kimakonde na kaolewa na mzungu,anajua kiswahili vizuri tu nahisi kushinda kiingereza chenyewe,,nilikaa nikasema why anafanya hivi lakini,huyu dada nilishawahi hata kucheza nae pool table ni mswahili kabisa na ni mmakonde kwa wazazi wake mikoroshoni,kasoma msasani primary school
Wewe utakuwa mwalimu wa primary schoolSasa kakosea wapi, unajua wengi mlio soma enzi za Nyerere mnaona kuongea kiswahili ni lazima hata kama hutaki.......njoo ofisini kwangu if you can't answer in Engilish just quite, wakati mimi ni msahili kabisa. Kila lugha inawakati wake.
aisee hata kama ndo kingereza kama ungebonga hiki chako hapo supermarket wangekuchekaSasa kakosea wapi, unajua wengi mlio soma enzi za Nyerere mnaona kuongea kiswahili ni lazima hata kama hutaki.......njoo ofisini kwangu if you can't answer in Engilish just quite, wakati mimi ni msahili kabisa. Kila lugha inawakati wake.
Siyo lazima ila kama kuna lugha unaeza wasiliana nae mkaelewana na ni lugha yenu ya taifa ,nini kinakuzuia tena akasema i dont understand swahili,hahahaahahSasa kakosea wapi, unajua wengi mlio soma enzi za Nyerere mnaona kuongea kiswahili ni lazima hata kama hutaki.......njoo ofisini kwangu if you can't answer in Engilish just quite, wakati mimi ni msahili kabisa. Kila lugha inawakati wake.
kUna baadhi ya ofisi za umma kuna haka katabia kakuzungumza english baina ya watumish,huwa hawajui tu huwa wananifanya nitaman kukimbia,maana mimi hata kujuliana hali tu sjui kwa kidhunguSasa kakosea wapi, unajua wengi mlio soma enzi za Nyerere mnaona kuongea kiswahili ni lazima hata kama hutaki.......njoo ofisini kwangu if you can't answer in Engilish just quite, wakati mimi ni msahili kabisa. Kila lugha inawakati wake.
Kwani sisi waalimu wa primary tuna kosa gani, ni aibu kua mualimu wa primaryWewe utakuwa mwalimu wa primary school
If you can't answer in Engilish just quite? ππππ Ndio maana wakenya na wanaijeria wanatudharau πSasa kakosea wapi, unajua wengi mlio soma enzi za Nyerere mnaona kuongea kiswahili ni lazima hata kama hutaki.......njoo ofisini kwangu if you can't answer in Engilish just quite, wakati mimi ni msahili kabisa. Kila lugha inawakati wake.