Leo nimeshuhudia pepo linamuingia mtu

Leo nimeshuhudia pepo linamuingia mtu

1.NI vizuri kama una nia ya kumsaidia kwanza mpeleke kwenye taasisi za dini kama kanisani au msikitini waka mwombe atokane na hayo mapepo.
2. kama huto weza ni vizuri uka mrudisha kwa wazazi wake waende waka msaidie wao.
 
Seems mapepo ameenea sana hapo kwenu, jikague na ww pia
 
Kichwa na stori mbona kama vimepishana .nilitegemea utuambie physical appearance ya huyo pepo loh! ..by the way, pole ..
 
Pole kwa majaribu hayo, hawa wasaidizi wa kazi ni wa kuwa nao makini sana maana hatujui watokapo na historia za maisha yao.
 
Sasa hilo pepo uliloliona lilikuwa limevaa pensi nyanya au gagulo??

Vipi sura yake iko kama ya Sizonje au Chakubanga?

Ungelipiga picha ingependeza zaidi...
Itakua kama ya Chakubanga.
 
Kichwa na stori mbona kama vimepishana .nilitegemea utuambie physical appearance ya huyo pepo loh! ..by the way, pole ..


Kwenye nyanja za kiroho ‘nilimuona’ huyo pepo akimuingia fundi. Kila nyanja ina mambo yake pamoja na reality zake. Reality za kiroho si sahihi ukizielezea kwa tafsiri za kidunia unaweza kupotosha au kushindwa kuelewa kinachotokea. Kwa ufahamu wangu, shetani hajawahi kuwa na physical appearance, ni imagination zetu tu kumchora na pembe. Anachoweza kufanya ni kuingia ndani ya mtu na kucontrol maamuzi yake.
 
Mpeleke kanisani Mara kwa Mara. Sio Mara moja halafu mnaacha
 
Tuulize sisi tulifundishwa mapenzi na biko tatu...nikiwa darasa la saba hadi form 2...mabeki tatu ndo walikuwa wakombozi wangu...beki 3 hutongozi unamshika shika,mara umbusu ukimbie mara umshike nyonyo baadae unamvizia akitoka kuoga unaenda kugonga chumbani kwake...akifungua mlango kakubali...nakumbuka home alikujaga beki tatu huyo week mbili mfululizo nilikuwa napiga show kwa simu km mara tatu hivi..nkitoka hapo naenda kusimulia kijiweni...watoto wenzangu...
 
Endeleeni kusingizia "mapepo" wakati tamaa za "ngono" zipo ndani ya miili yenu wenyewe. Nakerwa sana na hawa Manabii feki kama TB Joshua ambao......

Soma EZEKIELI 18:21-23

Mapepo hawajawahi kumfanya mtu atende mema.

Nimeongelea sana upungufu wa personal responsibility ya huyu msichana na pia ukosefu wa nidhamu ya kazi ya yule fundi. Lakini kumbuka, kuishinda dhambi constantly ni mapambano kama mistari uliyoweka inavyoonyesha. Ukilala tu unaweza anguka. Nimetafakari nimegundua inawezekana hata tukio zima ni wakeup call ya yule fundi. Labda ni mambo ambayo yamemsumbua. Kila jambo linatokea kwa sababu zake.

Unakosea sana ukiwasema wachungaji. Ninaowasikiliza mimi wote wanaongelea kumcha Mungu, kutenda mema, kuacha dhambi, kusoma na kutafakari NENO la Mungu wakati wote, nk.

Deliverance pia ni jambo muhimu sana. Umetoa maelezo yote lakini haujasema mapepo yana kazi gani.
 
HAPO NAONA WEWE NDIO MWENYE PEPO: HAO WAMEONYESHA UKAMILIFU WAO WAKIBINADAM. CHA MSINGI MPE ELIMU YA USALAMA WA KIAFYA ITASAIDIA ZAIDI.
 
HAPO NAONA WEWE NDIO MWENYE PEPO: HAO WAMEONYESHA UKAMILIFU WAO WAKIBINADAM. CHA MSINGI MPE ELIMU YA USALAMA WA KIAFYA ITASAIDIA ZAIDI.


Watu kama nyie nimeshawaaddress huko juu. Eti nina pepo? Huyo pepo ananifanya nifanye nini? Na wewe leta mafundi nyumbani kwako halafu waachie wafanye wanachotaka na mfanyakazi wako. Waachie kabisa na funguo za chumbani kwako labda watataka faragha zaidi.
 
Watu kama nyie nimeshawaaddress huko juu. Eti nina pepo? Huyo pepo ananifanya nifanye nini? Na wewe leta mafundi nyumbani kwako halafu waachie wafanye wanachotaka na mfanyakazi wako. Waachie kabisa na funguo za chumbani kwako labda watataka faragha zaidi.

KINACHO SHANGAZA KWANINI HUKUWA KAZINI, NA KAMA ULIKUWA NDANI KWANINI ULIJIWEKA KWENYE MAZINGIRA KAMA YA KUTAKA KUKAMATA KITU? HALAFU UNAONEKANA UNA KAWIVU KIDOGO MKUU, PEPO LINALOKUNYEMELEA NI LILE LA NABII TITO LA KULA MADADA WAKAZI . AMINI NAKUAMBIA LABDA HUJUI ILA MAELEZO YAKO YANAONYESHA UNAMTAKA HUYO DADA SISI WATAAALAM TUSHA KUFEHEM.
 
KINACHO SHANGAZA KWANINI HUKUWA KAZINI, NA KAMA........

Unalazimisha sasa. Cha kushangaza huwa mambo yake huwa siyafuatilii inatokea tu nayaona bila hata effort yoyote. Giza na mwanga haviwezi kukaa pamoja.

By the way, tukio zima toka naangalia dirishani kwa mara ya kwanza hadi mwisho wake haikuchukua hata dakika 15.
 
Back
Top Bottom