Leo nimeshuhudia maajabu huku mtaani!

Leo nimeshuhudia maajabu huku mtaani!

Kuna mahali nimekaa napata kilaji, kuna nyimbo zimepigwa hata sijaamini.

Hii ni aina ya miziki ambayo ni ngumu kuisikia mitaani, kuna jamaa yangu aliwah niambia kuwa nasikiliza nyimbo ambazo hazisikilizwi kabisa mtaani. Na ni kweli katika pita pita zangu ni ngumu sijawahi zisikia, labda kidogo ile migahawa ya Mlimani City ila cha ajabu ni nyimbo ambazo zinatazamwa zaidi Youtube na kwenye streaming platform zote zinafanya maajabu.

Sasa huyu Dj huku Kimara kapiga hizi nyimbo
Mama-William Singe x Jomas Blue
Levitating-Dua Lipa
Solo-Demi Lovato & Clean Bandit
Havana-Camilla Cabello
Work from home-Fifth Harmony

Labda pengine zimelia tu bahati mbaya, ila hii ndo trend music ya sasa, mimi huwa naona wasiosikiliza pop wanakosa vingi sana.

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Hizo nyimbo zipo kweny playlist yangu kasoro ya kwanza tu.
 
Hyo ya Fifth harmony - Work naelewa sana, ni ngoma fulani hv huchoki isikiliza
 
Hizo zote za wazungu,,Mabosi zao Wazungu wajanja sana black akitaka kutoboa wanaambiwa waimbe nyimbo za sex,gangs,guns,weed,drug au violence sana ila Ona wasanii Weupe nyimbo zao mostly love story na inakua nzuri sana,na wabongo naona wanaiga tu wanaona ujanja.
 
Back
Top Bottom