Leo nimepiga mwanamke

Be polite and firm brother kamwe usimruhusu mwanamke akakukojolea kiasi hicho hata siku moja.
 
Yan unampiga mkeo na kuja kujisifia jf wewe ni dhaifu na sio mstaarabu na ndio maana huheshimiki ningekua mimi police Ingekhusu hata mwezi mfyujuuuuj
Hujielewi wewe. Hebu waza au fikiria anayefanyiwa hivo ni kaka yako wa kiume.
 
Upo sahihi sana kamanda, ilimradi humuonei lkn ukiona ameshindwa kutii sheria bila shurti basi itabidi tu pachimbike kwakweli hakuna namna.
 
Wanaume wa dar wana nguvu za kugombea mwendo kasi tu;
mengine siri yetu.
Mamndenyi asante sana kwa kubainisha haya hahahahahaha.......ila umenifurahisha kwakweli eti 'wana nguvu ya kugombea mwendo kasi tu mengine siri yenu' vumilieni tu my dada.
 
Sasa mwanaume unaachaje kumpiga mkeo?

Haipendezi inapita mwaka mzima hujamweka mkeo hata kangeu bana.
Hahahahahahaha........................jf nayo ina vichwa kwakweli duuuuh! never boring
 
Hivi wale wanawake waliokuwa wanaenda kenya kukodi midushe walikua wawapi vile? Wanaume wa kichaga hawawezi kuja kulalamiki coz Muda wote wanapiga viroba tu.
 
mwanaume hamtii vizuri mkewe... mke keshakunwa hukoo jamaa, ampandie tu ampe kito. maridhawa kisha aachane nae andelee na taratibu zake za maisha
unapenda kutiiwa vizuri...uje unipepo basi,namie nitie makeke yangu
 
Hapo hamna ukurya ni mwanaume yeyote mwenye akili timamu, ulimchelewsha sanaaaaa, ila malizeni ugomvi na yeye anaelewa kwanini umefanya hivyo.
 
Du saa tano usiku mke bila taarifa alafu anakujibu vibaya.... Ukiona manyoya basi ujue *******
 
ahaha,mkuu husomeki kama ushauri umeomba wewe au rafiki yako,umeongea kama unamquote directly(direct speech) sijui unaongea mwenyewe toka kichwani,unaogopa negative comments humu? Anyway hata ningekuwa mimi ningembamanda tuu hakuna namna.
 
Nafikiri haujasoma vizuri post mkuu...amekuja saa 5 bila sababu ya msingi..anaulizwa analeta nyodo...jamaa kaenda kulala akamfuata na kumletea madharau plus matusi....mimi ningeua kabisa.
Ni mesoma vizuri Sana .
Na ni wanaume wangapi wanaorudi Ma nyumbani mwao Saa sita za usiku ? Au ni sawa Kama ni mwanaume na Si sawa Kama ni mwanamke .

Yakimshinda amwache ya nini kumpiga.
Eti ungeua peleka upuuzi wako huko .
Umesha ua wangapi ? Mnajifanya wanaume
Wa shoka kupiga wake zenu kumbe hamna lolote
Na mnaonyesha jinsi mlicho " weak".
 
Umefanya vizuri kumuadabisha...akileta tena ujinga mpe kelbu moja ya nguvu. Atanyooka tu
 

So what
 
Soma post yake kwa umakini,then Vaaa viatu vyake then umpe ushauri tena maana naona hapa nadharia nyingi...ulitaka atukaniwe wazazi akae kimya??
 
Mmmh aisee...

1. Mke wa kutukana mme mbele ya watoto na wageni

2. Mke wa kumuacha mume apikie watoto chakula.

OMG naomba sana Mungu yangu yasifikie huku. Daaah
Aisee unajua hata hvyo alimchelewesha sanaa yote haya hayakuanza overnight.

Binafsi uvumilivu sina lazma angekula kibano kilichoenda shule. Anagongwa makofi ya kutosha tu.

Always in a woman go after the character nd sio uzuri sijui shape. A woman's character says it all. A woman's character tells what she z capable of doing on her worst.

Kuna wanawake hata mkwazane vp hata siku moja hawez kukutusi mbele ya watoto/hadhara. Na kuna namna mwanamke aki behave unajua kabisa hapa mimi ndio tatzo nd i need to sort things out.

Mtangulize Mungu na jaribu kufwatilia nyendo za mkeo.
 
Hivi wale wanawake waliokuwa wanaenda kenya kukodi midushe walikua wawapi vile? Wanaume wa kichaga hawawezi kuja kulalamiki coz Muda wote wanapiga viroba tu.
Zile zilikua propaganda za kisiasa kama hukuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…