Huko unako safiri hakuna condom mpaka ununue unapo ishi?
Mwambie kwenye semina uliyokuwa umeenda mlipewa mafunzo ya ukimwi, so baada ya mafunzo wa kawa wanagawa hizo kondom, ndo na wewe ukazichukua kama washiriki wenzako walivyofanya. Ila kama zote zipo ful hujazitumia. Pole sana
anakoenda hawaongei kiswahili wala kingereza.
Kununua ndom hadi atoe dudu nje, afu dudu yake imejipinda kama kitasa.
Nina mke huwa ninasafiri kwenda nje, mara nyingi huwa mke wangu hana kawaida ya kuangalia ile begi yangu ambayo huwa nasafiri nayo lkn leo kaichek kaona paket 2 za condom nifanyeje wadau, nisaidieni utetezi hapo
anakoenda hawaongei kiswahili wala kingereza.
Kununua ndom hadi atoe dudu nje, afu dudu yake imejipinda kama kitasa.
anakoenda hawaongei kiswahili wala kingereza.
Kununua ndom hadi atoe dudu nje, afu dudu yake imejipinda kama kitasa.
Khaaah!!!!una nini wewe bidada?!nimepaliwa hapa itabidi unitafutie dawa....hahaaaaaaaAaaasanakoenda hawaongei kiswahili wala kingereza.
Kununua ndom hadi atoe dudu nje, afu dudu yake imejipinda kama kitasa.